Dr m wilbard
Member
- Jan 22, 2015
- 63
- 13
Dawa ipo kwa kalumanzila
Nyanoko
Dawa ipo kwa kalumanzila
Kazi sana kumpata mtu atakyekupenda kwa dhati,kukujali,kukuheshimu na kukuthamini hata kama una mapenzi ya dhati!!Ni shughuli pevu I surrender!!Dawa ya mapenzi ni penzi La dhati.
Unaweza kuwa single ukadhani utakuwa na furaha zaidi na kuepuka stress lakini ukikutana na couple Ina mapenzi ya dhati mpaka shetani anaogopa utatamani tu na wewe kuwa na wako.
Swala ni we binafsi kuchagua mwenza atakayekupenda kwa dhati,kukujali na kuheshimu hisia zako.....na ww kupenda na kumjali pia.
Kazi sana kumpata mtu atakyekupenda kwa dhati,kukujali,kukuheshimu na kukuthamini hata kama una mapenzi ya dhati!!Ni shughuli pevu I surrender!!