Mimi sitaki kusema mengi jaman ila kila mtu anajua mapenz yanavyozingua
hebu 2peane njia za kuinjoy mapenz bila stress!
Dawa ya mapenzi ni penzi La dhati.
Unaweza kuwa single ukadhani utakuwa na furaha zaidi na kuepuka stress lakini ukikutana na couple Ina mapenzi ya dhati mpaka shetani anaogopa utatamani tu na wewe kuwa na wako.
Swala ni we binafsi kuchagua mwenza atakayekupenda kwa dhati,kukujali na kuheshimu hisia zako.....na ww kupenda na kumjali pia.