Nauli za fastjet ziko chini sana nauli kwa return ticket ni tsh 374,170 ikiwa na kodi SA nauli ziko chini sana wapigie 0784 108 900 au ingia www.fastjet.com watakuhudumia.
Kwa niaba ya fastjet, ningependa kutoa shukrani za dhati kwa kwenu nyie wateja wetu kwa kufurahia huduma zetu, inatupa faraja na inatutia nguvu, tunaahidi kuendelea kutoa huduma bora, kuondoka kwa muda uliopangwana na kukupa urahisi katika kufanya maandalizi yako ya safari. Pia tunafanya juhudi...
Fastjet is growing tremendously the total number of fans in facebook is now over 100,000 with the Zambia launch the number is expected to grow bigger.:A S wink:
Si kweli. fastjet wako cheap sana ukilinganisha na Mashirika mengine ya ndege nchini kikubwa ni kufanya bookinng yako mapema ni kweli unaweza ukawa hukupata nauli ya elfu 32,000 kwa mwezi wa kwanza lakini kama unakumbuka mwezi Novemba fastjet walikuwa na punguzo kubwa la bei ambapo waliuza...
Fastjet wana email adress kama una malalamiko unaweza kuwaandikia kupitia Customer.Tanzania@fastjet.com watakusaidia na kama kuna makosa upande wa mfanyakazi pia watachukua hatua.
Muda umefika sasa Watanzania tuelewe, fastjet daima wanajitahidi kutoa huduma bora tatizo lililotokea jana la kupata ufa kioo ni la kiusalama sana sasa ulitaka ndege iende hivyohivyo? Tuelimike jamaniii na tuanze kuapreciate na kuisupport fastjet sababu wameleta mapinduzi makubwa sana katika...
Helow! Habari Nauli kutoka Dar hadi Johannesbug ni tsh 160,000 bila gharama ya kodi ukijumlisha na kodi ni tsh 236,800 na kutoka Johannesburg ni Tsh 160,000 bila kodi ukijumlisha kodi inakuwa tsh 243,250. Kwahiyo go n Return ni Tsh 480,000. Kumbuka kwamba hiyo ndo nauli ya chini kabisa na...
Am sure fastjet watauza sana na itakuwa kitu kizuri kwa watu kwenda SA kwa bei nafuu si tu kibiashara bali pia kutembea na kujionea miji ya wenzetu, imefika muda sasa hata watanzania wa kawaida waende nje ya nchi for a vacation.:) Kuhusu kwenda Mbeya, Juzi Wiki Kama moja iliyopita Afisa...
Jamani nauli za chini zipo na wala sio Promotion, tena sio Tsh 75,000 ni Tsh 43,000 one way that makes 86,000 kwa tiketi ya kwenda na kurudi. Tafadhali mtu asikudanganye dawa ni kufanya booking mapema na kama una tatizo lolote ingia kwenye wavuti yao www.fastjet.com au facebook page yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.