BURUDIKA
Member
- Dec 30, 2013
- 91
- 8
Habari wana JF.
Jamani wana JF nashuhudia kitu nilicho kiona ktk interview ya kampuni ya ndege FASTJET iliyofanyika tar 4 mwezi huu pale Accomondia Hotel kuwa hakuna mtu kupendelewa yani ni fair na haki kiasi kwamba kila mtu anaondoka ameridhika tena kwa moyo mmoja. Nilitegemea nitakuta MAGUMASHI kama nilivozoea kwenye makampuni mengine ila wale jamaa ni noma na wanafaa kuigwa, kama ww ni mzuri wa interview za written utapata haki yako na kama ww ni mzuri wa interview ya oral utapata haki yako pia.
Naombeni makampuni mengine muige inteview za hawa jamaa mtapata watu wa kuwasaidia kwenye kazi zenu mlizo panga mwombaji azifanye baada ya kumuajiri.