Yesu aliishi duniani miaka 33 hakuwa na nyumba, akarudi kuishi kwa baba yake duniani tunapita nyumba unataka ya nini?🤣🤣🤣
Hii comment usiichukulie poa inawalenga Mario wote na na huyo mharifu mwenzako, miaka 47 hana nyumba dah, sio kwa ndoa jamani.
Siku hizi nikiingiaga jf nakuja kufanya reference dah kuna uzi nautafuta wambea hii kapo si mwaka mmoja tu au mnasemaje?
Huo umbea kama haukuandikwaga na marehemu warumi basi ni mmbea mwingine. Wacha niendelee kufukua makaburi humu.
Hawa wanatakiwa kuishi wote maana wamepitia mengi watoto wao wakiuliza wapate majibu kwao.
Kwanza wana video ya utupu na lile li kyupi la nandy liko mtandaoni na wajukuu watalikuta.
Na kile kijiumbea kwamba.......
Ndege wafananao uruka pamoja wacha waishi wote waliwazane.
Jana nilikuwa nacheka na mtu kuwa siku hizi kanga zimeisha bei tangu dela liingie mjini aisee dela limekuwa vazi la taifa.
Sina shida na dela maana limekuwa vazi jepesi tukiwa home tunajiachia na dela na skini taiti.
Daslam ni dela ya kyupi ati joto kali🤣 pia hakuna haja ya kuvaa bra kwenye...
Sh amon hawauzi lotion feki wala mikorogo. Sasa ukienda lazima umkute dr, akuangalie ngozi yako ndo atajua ngozi yako inafaa kwa mafuta yapi.
Kutengeneza ngozi ni kazi kubwa yaani anaweza kukupa lotion ya elfu 50 ikukatae hapo haijaisha upewe nyingine.
Sabuni ndo sio ghari ni 15000. Mimi...
Waganga vs manabii wacha tuone mshindi.
Hawa wote ni mapacha.
Mganga anakupa sharti ukiwa unatoka ndani utanguluze mguu wa kushoto🤣 sasa subiri utakavyo ichanganya miguu hapo mlangoni kwako.
Mganga anajua kabisa hutoweza ilo sharti nenda uteguke miguu mwenyewe.
Nabii anakwambia jion ya leo...
Hiyo laki tano naitoa nalia kabisa.
Tuishi maisha yetu halisi haya maisha ya kuigiza yana gharama zake.
Imagine nilivyo bahili simu niliyo nayo niliinunua 2021 ahaaaaaa yaani mpaka ikome. Nabadirisha protector na cover tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.