Mimi nadhani hii sikukuu imefutwa mwaka huu tu ili kumwokoa Raisi Shein ,maana angepata aibu kubwa sana kuliko aliyopata Dodoma kama angeonekana uwanjani...
Mpaka issue ya Zanzibar iwe safi kwa sasa bado ni doa kubwa,ndio maana mwaka huu ile sherehe ya uhuru 9/12 imefutwa maana Raisi wa Zanzibar alitakiwa kuwepo,angeenda Shein hiyo 9/12 ingekuwa zaidi ya kilichotokea Dodoma siku ya kufungua bunge.
Hakuna saizi ya Maalim Seif Zanzibar,Seif alijenga ngome nzito Pemba ambayo ata Mwl Nyerere alishindwa kuibomoa (Tangu uchaguzi wa 1995 Ccm hawajapata ata kiti kimoja)hakuna shida Seif atapambana nao !!!Mpaka matokeo yanaacha kutangaza Seif alikuwa amepenya ngome ya Ccm Unguja (viti 8)wakati Ccm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.