Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,491
- 2,355
Mara baada ya mazungumzo baina ya JPM na Seif, vikosi vya JWTZ vimeonekana vikiondoka katika maeneo waliyokuwa wakilinda kabla na baada ya uchaguzi huko zanzibar.
Nadhani hii ni dalili njema kwa ustawi wa amani ya zanzibar na tanganyika kwa ujumla.Mlioko zanzibar tujuzeni zaidi
Source. Mazrui Media
Nadhani hii ni dalili njema kwa ustawi wa amani ya zanzibar na tanganyika kwa ujumla.Mlioko zanzibar tujuzeni zaidi
Source. Mazrui Media