Zanzibar: Maalim Seif, Shein kuteta Leo

Zanzibar: Maalim Seif, Shein kuteta Leo

Siyapendi mazungumzo ya huyu Maalim Seif, anaitwa na anakwenda kuongea mambo ya msingi yanayohusu wananchi kama vile anaongea na babaake mdogo.

Amekosa Protocol ya kichama wakimaliza kuongea wanamgeuka, anafanya siasa za kizamani washauri wake dhaifu au ni mbishi?

Anafanya vikao na viongozi zaidi ya 4 wa ulibzani wake yeye yuko pekeyake anamaslahi gani kwa kura za waliomchagua?

Nina wacwac na uongozi wa huyu Maalim?

Ukiona Hivyo ujue nani Maalim...The Hulk...the Superman..haahahah you call him the Shakespear , you name him he fit the suit.

Mmoja kwa watano anawakabili peke yake hataki mambo yavuje , yatatoka yakiwa tayari.
wewe humjui SEIF , Huyu 1986 alikua Chief Minister , wakataka kumdhuru akaenda kutibiwa njee
alipo rudi akapokewa na umati wa Wazanzibari na Maneno yake aliwambia nitawatumikia na kudai haki zenu nikiwa ndani ya ccm au nje ya ccm.
baada ya maneno hayo akaachishwa Uchifu minister na baadae akavuliwa Uwanachama wa ccm.
Mwalimu Nyerere alitangaza mwenyewe kumfukuza na alimkubali kwa kusema na kijichekesha kuwa aaah huyu amepokelewa na wapenzi wake wengi sana sana...!!!!

baadae Seif akakamatwa na kutiwa ndani kwa kesi za kutunga na kukaa ndani jela ya mateso kwa zaidi ya miaka 3.
Serikali ya ujerumani haikupendezwa na hili haswa aliyekua balozi wao hapa aliitaka serikali imwachie haraka na akaaachiwa.

alitoka afya yake imezorota sana lakini akajiunga tena katika harakati za ukombozi wa znz na bado haja choka yupo anadai na ni kiongozi shupavu hakuna mfano wake.
ndio maana yeye mmoja tu atosha hata ccm 100...wakae wamzunguke hoja zake na busara zake ni uhakika na ukweli . ni mstaahamilivu mnooooo
tusubiri ila wakifanya hiana ccm , la uhakika Maalim mara hii watamuona mbaya hakubali democracia ikachezewa kwa manufaa ya kikundi kidogo ..Time will tell
 
Kwanini maalim sefu anaogopa kurudia uchaguzi?

Hakuna anae ogopa lakini hakuna sababu za kurejea.ila kama maficcm wanataka urejewe basi kawambie walete ball uwanjani lakini refa sio Jecha tena tunataka Refa wa FIFA wa njee kuanzia mwanzo mpaka mwisho..
tuone kama mwabwana zako watakubali. wao wanataka urejewe na watumie jeshi na polisi kuiba
 
Harakati zawanzanzibar hazikuanza leo,ni haki yao kupewa mamlaka yao yaliyoporwa na wavamizi.
 
Hakuna anae ogopa lakini hakuna sababu za kurejea.ila kama maficcm wanataka urejewe basi kawambie walete ball uwanjani lakini refa sio Jecha tena tunataka Refa wa FIFA wa njee kuanzia mwanzo mpaka mwisho..
tuone kama mwabwana zako watakubali. wao wanataka urejewe na watumie jeshi na polisi kuiba

Jiheshimu basi bwanamdogo ccm mabwana zake nani?
 
Siyapendi mazungumzo ya huyu Maalim Seif, anaitwa na anakwenda kuongea mambo ya msingi yanayohusu wananchi kama vile anaongea na babaake mdogo.

Amekosa Protocol ya kichama wakimaliza kuongea wanamgeuka, anafanya siasa za kizamani washauri wake dhaifu au ni mbishi?

Anafanya vikao na viongozi zaidi ya 4 wa ulibzani wake yeye yuko pekeyake anamaslahi gani kwa kura za waliomchagua?

Nina wacwac na uongozi wa huyu Maalim?

Hayuko peke yake mkuu. Yuko na Karume Jnr na Dr Salmin (Commandoo). Usitie shaka kwa hilo
 
Hakuna saizi ya Maalim Seif Zanzibar,Seif alijenga ngome nzito Pemba ambayo ata Mwl Nyerere alishindwa kuibomoa (Tangu uchaguzi wa 1995 Ccm hawajapata ata kiti kimoja)hakuna shida Seif atapambana nao !!!Mpaka matokeo yanaacha kutangaza Seif alikuwa amepenya ngome ya Ccm Unguja (viti 8)wakati Ccm walishindwa kabisa kupenya ngome nzito ya Cuf Pemba
 
Ccm ina uzoefu wa kushinda, Mtani wetu mwaka wa 20 anasindikiza kila uchaguzi, Dr.Shein huna haja ya kuhofia ushindi- kiboko ya Lowassa akifunga kampeni znz
 
Hayuko peke yake mkuu. Yuko na Karume Jnr na Dr Salmin (Commandoo). Usitie shaka kwa hilo

Karume yupi huyu kada wa Ccm? Kwani asharejesha kadi au alijiunga lini Cuf? Tukubali tuu maalim ni mbinafsi, kuna mambo hakustahiki kuyafanya yeye lkn kila kitu anafanya mwenyewe wengine huwasikii wala huwaoni. Kama lile suala la kutangaza Yale matokeo alikua afanye ile kazi MTU mwingine kabisa.
 
Matokeo yametangazwa na zec na kubandikwa kwenye kuta za vituo vya kupigia kura,turudi kwenye hoja jecha hana mamlaka ya kufuta uchaguzi.
 
Ukiona Hivyo ujue nani Maalim...The Hulk...the Superman..haahahah you call him the Shakespear , you name him he fit the suit.

Mmoja kwa watano anawakabili peke yake hataki mambo yavuje , yatatoka yakiwa tayari.
wewe humjui SEIF , Huyu 1986 alikua Chief Minister , wakataka kumdhuru akaenda kutibiwa njee
alipo rudi akapokewa na umati wa Wazanzibari na Maneno yake aliwambia nitawatumikia na kudai haki zenu nikiwa ndani ya ccm au nje ya ccm.
baada ya maneno hayo akaachishwa Uchifu minister na baadae akavuliwa Uwanachama wa ccm.
Mwalimu Nyerere alitangaza mwenyewe kumfukuza na alimkubali kwa kusema na kijichekesha kuwa aaah huyu amepokelewa na wapenzi wake wengi sana sana...!!!!

baadae Seif akakamatwa na kutiwa ndani kwa kesi za kutunga na kukaa ndani jela ya mateso kwa zaidi ya miaka 3.
Serikali ya ujerumani haikupendezwa na hili haswa aliyekua balozi wao hapa aliitaka serikali imwachie haraka na akaaachiwa.

alitoka afya yake imezorota sana lakini akajiunga tena katika harakati za ukombozi wa znz na bado haja choka yupo anadai na ni kiongozi shupavu hakuna mfano wake.
ndio maana yeye mmoja tu atosha hata ccm 100...wakae wamzunguke hoja zake na busara zake ni uhakika na ukweli . ni mstaahamilivu mnooooo
tusubiri ila wakifanya hiana ccm , la uhakika Maalim mara hii watamuona mbaya hakubali democracia ikachezewa kwa manufaa ya kikundi kidogo ..Time will tell

Nakushukuru kwa ujumbe wako wa kisiasa lakini unapokuja na kuniambia humjui SEIF na wenzake wote walionza hiki chama cha cuf utakua unasema uwongo kwakua hata Mimi hunijui ni Nani?

Nimeanza kumjua huyu tangu kabla ya waziri kiongozi mpaka amefukuzwa na kuanzisha kikundi kabla ya mfumo wa vyama vingi, waanzishi ni shaban mloo, sleiman SEIF, soud yussuf mgeni, na walikua wanakusanyika kwenye Nyumba ya Hamad sharrif pale jadida. Sitaki niseme mengi hapa ninayo ambayo yanafurahisha na kuhuzunisha.

Nimwambie sina tatizo nae kiasi hicho na nampenda ni mvimilivu na asiyekata tamaa, kwakua safari yake kama ni Mimi ningekua nimeshaiacha muda mrefu ila tunachotakiwa kukisema kama kitakua kina maslahi kwa wananchi kirekebiswe.
 
Tatizo mafisiem wajanja sana. Watajikausha kimyaa wanasubiri watu mori wa uchaguzi uishe ndio waibuke kutangaza siju ya kupiga kura. Wanachojua wao sasa hv bado watu wanahasira na jecha na fisiem.
 
Karume yupi huyu kada wa Ccm? Kwani asharejesha kadi au alijiunga lini Cuf? Tukubali tuu maalim ni mbinafsi, kuna mambo hakustahiki kuyafanya yeye lkn kila kitu anafanya mwenyewe wengine huwasikii wala huwaoni. Kama lile suala la kutangaza Yale matokeo alikua afanye ile kazi MTU mwingine kabisa.
Pamoja na Karume Jnr na Salmin kuwa wanachama wa CCM hawa ni wazanzibari na uaminifu wao/ultimate loyalty ni towards mother nation- Zanzibar. Once a Zanzibari always a Zanzibari.HAKI.
 
Siyapendi mazungumzo ya huyu Maalim Seif, anaitwa na anakwenda kuongea mambo ya msingi yanayohusu wananchi kama vile anaongea na babaake mdogo.

Amekosa Protocol ya kichama wakimaliza kuongea wanamgeuka, anafanya siasa za kizamani washauri wake dhaifu au ni mbishi?

Anafanya vikao na viongozi zaidi ya 4 wa ulibzani wake yeye yuko pekeyake anamaslahi gani kwa kura za waliomchagua?

Nina wacwac na uongozi wa huyu Maalim?

Hili jambo si dogo, linaashiria makubwa.

Maalim asingekubali wala kufanya hayo mazungumzo kama hakuna mahali alikosea na hivyo wanambana kihalali mbele ya sheria.

Jambo hilo pia viongozi waandamizi wa chama chake watakuwa wanalifahamu vinginevyo, ninvyofahamu mimi, kina Jussa wangeshalianzisha siku nyingi.
 
Hakuna anae ogopa lakini hakuna sababu za kurejea.ila kama maficcm wanataka urejewe basi kawambie walete ball uwanjani lakini refa sio Jecha tena tunataka Refa wa FIFA wa njee kuanzia mwanzo mpaka mwisho..
tuone kama mwabwana zako watakubali. wao wanataka urejewe na watumie jeshi na polisi kuiba

Ni rahisi sana. Kama uchaguzi ukirudiwa, usisimamiwe na ZEC wala NEC, bali NEC pekee iwepo kama Shahidi tu lakini wasimamiz ni UN,AU,na Jumuia ya Commonwealth. Na kwa kuwa Zanzibar ina majimbo machache, Uchaguzi ufanyike kwa siku zaidi ya 10, kila siku majimbo angalau Manne na matokeo yatangazwe. Katika Majimbo hayo Manne, basi angalau kila siku Pemba ifanye Majimbo Mawili na Unguja majimbo mawili. Naamini hili litaua mzizi wa Fitina na mshindi atapatikana bila dosari. Nje ya hapo naona ni ubishani usio na tija kwa Taifa.
 
Karume yupi huyu kada wa Ccm? Kwani asharejesha kadi au alijiunga lini Cuf? Tukubali tuu maalim ni mbinafsi, kuna mambo hakustahiki kuyafanya yeye lkn kila kitu anafanya mwenyewe wengine huwasikii wala huwaoni. Kama lile suala la kutangaza Yale matokeo alikua afanye ile kazi MTU mwingine kabisa.
.

Wewe ni ADC watu washakujuwa, munatumiwa na CCM.
 
Ukiona Hivyo ujue nani Maalim...The Hulk...the Superman..haahahah you call him the Shakespear , you name him he fit the suit.

Mmoja kwa watano anawakabili peke yake hataki mambo yavuje , yatatoka yakiwa tayari.
wewe humjui SEIF , Huyu 1986 alikua Chief Minister , wakataka kumdhuru akaenda kutibiwa njee
alipo rudi akapokewa na umati wa Wazanzibari na Maneno yake aliwambia nitawatumikia na kudai haki zenu nikiwa ndani ya ccm au nje ya ccm.
baada ya maneno hayo akaachishwa Uchifu minister na baadae akavuliwa Uwanachama wa ccm.
Mwalimu Nyerere alitangaza mwenyewe kumfukuza na alimkubali kwa kusema na kijichekesha kuwa aaah huyu amepokelewa na wapenzi wake wengi sana sana...!!!!

baadae Seif akakamatwa na kutiwa ndani kwa kesi za kutunga na kukaa ndani jela ya mateso kwa zaidi ya miaka 3.
Serikali ya ujerumani haikupendezwa na hili haswa aliyekua balozi wao hapa aliitaka serikali imwachie haraka na akaaachiwa.

alitoka afya yake imezorota sana lakini akajiunga tena katika harakati za ukombozi wa znz na bado haja choka yupo anadai na ni kiongozi shupavu hakuna mfano wake.
ndio maana yeye mmoja tu atosha hata ccm 100...wakae wamzunguke hoja zake na busara zake ni uhakika na ukweli . ni mstaahamilivu mnooooo
tusubiri ila wakifanya hiana ccm , la uhakika Maalim mara hii watamuona mbaya hakubali democracia ikachezewa kwa manufaa ya kikundi kidogo ..Time will tell

Tupo pamoja kamanda.

Haki lazima ipatikane. Mungu anaipigania na Maalim Seif ni nabii wa Mungu katika hili.

Mungu kwanza.... CCM mwishoni kabisa.
 
Wajinga sn ccm kuanzia bara wanaruhusu vyama vingi lkn hawataki kurndesha uchaguzi ulio huru??????
Wanachofanya Mkuu ni kuendesha usanii.
Wanataka Jumuia ya Kimataifa iwaone kuwa wanaendesha nfumo wa vyama vingi.
But practically nchi yetu inaendeshwa katika mfumo wa chama kimoja
Ndiyo maana CCM hawataki Rasimu ya Katiba ya Tume ya Warioba na badala yake wanataka Katiba hii tuliyo nayo iendelee kwa kuwa inampa mamlaka Rais aliyeko madarakani kumteua Mwenyekiti wa Tume na wajumbe wake wote wa Tume hiyo na wakati huo huo Katiba hiyo ina Ibara ambayo inasema mara Mwenyekiti wa Tume anapomtangaza mshindi wa kiti cha Urais hakuna mahakama yoyote hapa nchini na nje ya nchi itakayokuwa na mamlaka ya kusikiliza shauri la kulalamikiwa kwa matokeo hayo!
 
Back
Top Bottom