mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,258
- 9,727
Kwa jina la yesu kubali kuibiwa amen
Mjinga mkubwa ww Huna adabu akili mgando tena unapepo mchafu
Kwa jina la yesu kubali kuibiwa amen
Nnaona anawekwa sawasawa.
Yaap ni uroho wa madaraka. Kwanini asimuule Mwenyezi Mungu kama atakuwa Rais au hatokuwa Rais? Huyo jamaa ni mnafiki na mroho wa madraka kama yule EL.
Yaap ni uroho wa madaraka. Kwanini asimuule Mwenyezi Mungu kama atakuwa Rais au hatokuwa Rais? Huyo jamaa ni mnafiki na mroho wa madraka kama yule EL.
Hata wewe kumbe umekubali rais Maalim Seif, Sawasawa?
Hata Malinzi rais wa TFF.
Sawasawa?
Hata Malinzi rais wa TFF.
Sawasawa?
Lidiniiiii hilooooooo
Ok, lakini hapa tunamzungumzia Maalim Seif, rais mteule wa SMZ, Sawasawa?
Unaweweseka.
Lidiniiiii hilooooooo
Ok, lakini hapa tunamzungumzia Maalim Seif, rais mteule wa SMZ, Sawasawa?
Bi mkubwa, bado unaota tu!!?