Je kuna uhalali wa TFF na shirikisho la mpira wa miguu kuitaka yanga kuilipa mazembe zaidi ya 500 milion kwa kufuta viingilio kwa mashabiki kwenye mechi ya leo.
Mi naona ccm wakae watafakari kinachotokea sababu hapo sio huyo naibu anadhalilika serikali nzma na democrasia inapotea kabisa. Sasa kutakua na faida gani kua na bunge la ccm tu. HakutKua na mashiko ya bunge kwa namna biyo
Mi naona kwanza shida sio kuwarudisha nyumbani, la nama walivyoondolewa chuoni kwa ghafla kiasi kwamba ambaye hakua na hela sio rahisi kupata kwa siku moja ukizingatia wengi tunatoka familia zetu kua haziwezi kuna na emergence balance za fedha. Hiki kimepelekea wanafunzi kushindwa kurudi makwao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.