Je kuna uhalali wa TFF na shirikisho la mpira wa miguu kuitaka yanga kuilipa mazembe zaidi ya 500 milion kwa kufuta viingilio kwa mashabiki kwenye mechi ya leo.
Wewe uhalali ulitaka iweje.? Usipotumia kichwa chako kuchanganua mambo badala yake ukahitaji usahihi wa unachokihitaji kutoka vichwa vingine basi hauna sababu ya kuwepo duniani kwa kuwa hutoweza kujitegemea bali utaendeshwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.