Recent content by LuciusKaisery

  1. LuciusKaisery

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli anaweza kukaa na vyama pinzani meza moja?

    mmh...
  2. LuciusKaisery

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli anaweza kukaa na vyama pinzani meza moja?

    CCM ndio hawatambuia kama hii nchi hya vyama vyote.
  3. LuciusKaisery

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli anaweza kukaa na vyama pinzani meza moja?

    Utajisikiaje siku unasikia kwenye vyombo vya habari au mitandaoni Mhe. Raisi. Dr. John Pombe Maghufuli kamwita au kamualika Mhe. FreeMan Mbowe au Prof. Ibrahim Lipumba au Kiongozi wa upinzani yoyote ikulu wajadiliane juu ya maswala la kitaifa yamemshinda labda namna ya ku-ukwamua uchumi wetu au...
  4. LuciusKaisery

    JamiiForums Tanzania Je, huyu kwenye picha ndio Yesu Kristo?

    Muulize mkristo yoyote hii picha ya nani, atakuambia picha ni ya Yesu Kristo. Una ushahidi gani? Hii picha nani alimchora au nani alimpiga hiyo picha? Kama ilichorwa zilitumika reference gani kuchorwa? Utamsikia "mimi sitaki nikufuru kama huamini basi".Reasonig ni kukufuru? Toka Yesu afe...
  5. LuciusKaisery

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mwanafunzi wa Uzamivu (PhD) raia wa Tanzania, Baraka Nafari auliwa kwa kugongwa na gari na kuchomwa kisu

    Mwanafunzi wa Kitanzania aliyekuwa akisoma Shahada ya Uzamivu (PhD) katika Chuo Kikuu cha Johannesburg (UJ), Afrika Kusini, Baraka Nafari amefariki dunia kwa kugongwa na gari na watu wasiojulikana akitokea katika matembezi ya usiku. Uwezo Edward, ambaye ni binamu wa Baraka anayeishi Afrika...
  6. LuciusKaisery

    JamiiForums Tanzania LHRC: Upinzani ulionewa uchaguzi mdogo Kinondoni, Siha

    Kaimu Mkurugenzi wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu ,Anna Henga Kwa ufupi Uchaguzi katika majimbo ya Kinondoni na Siha ulifanyika Februari 17, 2018 By Elias Msuya, Mwananchi emsuya@mwananchipapers.co.tz Dar es salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimedai uchaguzi mdogo...
  7. LuciusKaisery

    JamiiForums Tanzania You want me silent? Kill me first

    You want me silent? Kill me first, You want me quite? Kill me first. You want me shut my mouth? Kill me first. You want me bite my tongue? Kill me first. Kidnapp me,Torture me, Cripple me, Harass me, Abuse me, Opress me, Still i wont be quite, Shut all press, all medias, Still i will be heard...
  8. LuciusKaisery

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mabeyo(JWTZ): Kuna Viashiria vinavyotishia Usalama wa Nchi. Hatua zinachukuliwa kudhibiti hali hiyo

    Mabeyo amani inalindwaje?kwa mtutu? Maandamano ya amani yanavunja amani? Kama anasimamia UKWELI, mbona akiambiwa ukweli anakasirika? TUNDU LISSU INCOMPLETE ASSASINATION... AQUELINA AKWILLINI GUNFIRE.... ROMA AND MONI KIDNAPPING... BEN SAA NANE KIDNAPPING... AZORY KIDNAPPING... LUENA AND OTHER...
  9. LuciusKaisery

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Zitto Kabwe akamatwa, ahojiwa na kuwekwa ndani. Atoka kwa dhamana

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameitwa katika Kituo cha Polisi cha Mgeta wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro kwa ajili ya mahojiano. Zitto ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini yupo katika ziara ya mikoa mbalimbali kwa ajili ya kukagua na kuimarisha uhai wa chama hicho. Leo...
  10. LuciusKaisery

    JamiiForums Tanzania Siasa inavyotuathiri Watanzania

    Siasa ina-athiri maisha yetu ya kila siku. Viongozi serikalini wananasiasa ndio wanafanya maamuzi ya nchi kwa niaba yetu.Kiasi cha kodi unacho lipa, aina ya elimu unayosoma, mshahara unaolipwa yote haya yaliamuliwa na kiongozi ambae ni mwanasiasa. Tupo kwenye maombelezo ya Aquilina .B. Akwilini...
  11. LuciusKaisery

    JamiiForums Tanzania DAR: Mbowe, Mnyika na viongozi wengine wa CHADEMA waachiwa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewaachia kwa dhamana viongozi waandamizi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA. walioitikia wito uliotolewa na jeshi la polisi. Vingozi wa Chadema wakiripoti kituoni hapo Waliripoti kituoni hapo kufuatia wito uliotolewa na jeshi la...
  12. LuciusKaisery

    JamiiForums Tanzania How to solve African governance and development issues: A perspective from China

    A Chinese perspective on how Africa can solve its lack of governance issue. For a long time, capacity deficiencies and the low level of governance performance among African countries lead to turmoil of "having tribe societies without a central government". This is an important factor...
  13. LuciusKaisery

    JamiiForums Tanzania Nchi ya waongeaji bila vitendo

    wewe sio mtanzania?
  14. LuciusKaisery

    JamiiForums Tanzania Nchi ya waongeaji bila vitendo

    Ni swali la kuuliza mtu mzima kama wewe? Ni aibu hasa utakuta umesoma?
  15. LuciusKaisery

    JamiiForums Tanzania Nchi ya waongeaji bila vitendo

    Alipigwa risasi Tundu Lissu Watanzania wengi waliongea wengine wa waka-post mitandaoni twitter, facebook, instagram tukaishia hapo. Hakuna hatua inayochukuliwa. 2.Kapotea Ben Saa Nane. Watanzania wengi waliongea wengine wa waka-post mitandaoni twitter, facebook, instagram tukaishia hapo. Hakuna...
Back
Top Bottom