Je, huyu kwenye picha ndio Yesu Kristo?

Je, huyu kwenye picha ndio Yesu Kristo?

LuciusKaisery

Member
Joined
Feb 19, 2018
Posts
18
Reaction score
31
27912475_570122823350763_1193022044091833550_o.jpg

Muulize mkristo yoyote hii picha ya nani, atakuambia picha ni ya Yesu Kristo.

Una ushahidi gani? Hii picha nani alimchora au nani alimpiga hiyo picha? Kama ilichorwa zilitumika reference gani kuchorwa?

Utamsikia "mimi sitaki nikufuru kama huamini basi".Reasonig ni kukufuru?

Toka Yesu afe hadi karne ya 6 ndio picha hii imeanza kuchorwa na ina versions tofauti tofauti na Waroma ndio walianza mchakato na bado sio picha halali ya Yesu Kristo.

Picha hiyo imechorwa tokana description za ki-biblia mfano kitabu cha ufunuo.
 
Picha ya kwanza ya Yesu akiachiwa Veronica, mwanamke aliyemuonea huruma Yesu akibeba msalaba Huku akichuruzikwa jasho la damu ndipo alipofuta jasho lile kwa lesso yake nyeupe na Yesu alimuachia ukumbusho wa sura yake

Lesso hii imehifadhiwa Roma
 
View attachment 704508
Muulize mkristo yoyote hii picha ya nani? Atakuambia picha ya Yesu Kristo.Una ushahidi gani? Hii picha nani alimchora au nani alimpiga hiyo picha? Kama ilichorwa zilitumika reference gani kuchorwa?
Utamsikia "mimi sitaki nikufuru kama huamini basi".Reasonig ni kukufuru?
Toka Yesu afe hadi karne ya 6 ndio picha hii imeanza kuchorwa na ina versions tofauti tofauti na waroma ndio walianza mchakato na bado sio picha halali ya Yesu Kristo.
Picha hiyo imechorwa tokana description za ki-biblia mfano kitabu cha ufunuo.
Aahh Yesu hatumjui kwa picha
 
Picha ya kwanza ya Yesu akiachiwa Veronica, mwanamke aliyemuonea huruma Yesu akibeba msalaba Huku akichuruzikwa jasho la damu ndipo alipofuta jeshi like kwa lesso yake nyeupe na Yesu alimuachia ukumbusho wa sura yake

Lesso hii imehifadhiwa Roma
Duuuhh hatr na nguo zake Yesu zipo wapi? Bt hicho kitambaa ni material gani maan inanipa UKAKASI kukuelwwa.
 
View attachment 704508
Muulize mkristo yoyote hii picha ya nani? Atakuambia picha ya Yesu Kristo.Una ushahidi gani? Hii picha nani alimchora au nani alimpiga hiyo picha? Kama ilichorwa zilitumika reference gani kuchorwa?
Utamsikia "mimi sitaki nikufuru kama huamini basi".Reasonig ni kukufuru?
Toka Yesu afe hadi karne ya 6 ndio picha hii imeanza kuchorwa na ina versions tofauti tofauti na waroma ndio walianza mchakato na bado sio picha halali ya Yesu Kristo.
Picha hiyo imechorwa tokana description za ki-biblia mfano kitabu cha ufunuo.

Wewe una umbea

Unasema Muulize Mkristo yeyote atasema huyo ni Yesu....wewe ulishawauliza Wakristo wote wakasema hivyo?

Mimi ni Mkristo sijawahi kusema huyo ni Yesu.

Umeuona umbea wako?
 
View attachment 704508
Muulize mkristo yoyote hii picha ya nani? Atakuambia picha ya Yesu Kristo.Una ushahidi gani? Hii picha nani alimchora au nani alimpiga hiyo picha? Kama ilichorwa zilitumika reference gani kuchorwa?
Utamsikia "mimi sitaki nikufuru kama huamini basi".Reasonig ni kukufuru?
Toka Yesu afe hadi karne ya 6 ndio picha hii imeanza kuchorwa na ina versions tofauti tofauti na waroma ndio walianza mchakato na bado sio picha halali ya Yesu Kristo.
Picha hiyo imechorwa tokana description za ki-biblia mfano kitabu cha ufunuo.
Iwe ya Yesu au isiwe wewe inakuathiri kitu gani? As long as haikunyimi pumzi,piga kimya au kajambe mbele ya safari
 
Picha ya kwanza ya Yesu akiachiwa Veronica, mwanamke aliyemuonea huruma Yesu akibeba msalaba Huku akichuruzikwa jasho la damu ndipo alipofuta jeshi like kwa lesso yake nyeupe na Yesu alimuachia ukumbusho wa sura yake

Lesso hii imehifadhiwa Roma
kazi ipo! Ninao uhakika kuwa jambo ulilolisema hapo juu huna uhakika nalo. Jasho likageuka kuwa picha, mmh sijui! Hizo nywele na ndevu nazo zilitokea kwenye leso? Imani pasipokuielewa misingi yake ni mzigo.
 
Ni Kwamba Watu Wameshindwa Kufahamu Description Ya Mtu Kwa Njia Ya Maandishi Au Maneno Inaweza Kuwekwa Kuwa Picha Halisi. Watu Wa Upelelezi Wanaelewa Hii Kitu. Nakumbuka Zanzibar Kuna Mzungu Kutoka CIA Alipewa Description Ya Muuaji Alimchora Jinsi Alivyo Mpaka Mtoa Taarifa Akabaki Jaw-dropped. Kwa Mantiki Hii, Picha Ya Yesu Inaweza Kuchorwa Kuzingatia Description Zake Hususani Kupitia Kitabu Cha Ufunuo. Jitahidi Kuangalia Kipindi Cha Crime and Investigation Jinsi Muuaji Anapatikana Kwa Kupitia Description. Ahsante.
 
Mkuu umeeleza vizuri hii kitu.
Nahisi umeeleweka.
 
Hivi nyie si mnamuita Isa bin Mariam??

That means mnatambua uwepo wake.

Mmekosa kabisa hata maelezo ya wajihi wake ili kupingana na picha hii mnayoikejeli??
 
Picha ya kwanza ya Yesu akiachiwa Veronica, mwanamke aliyemuonea huruma Yesu akibeba msalaba Huku akichuruzikwa jasho la damu ndipo alipofuta jeshi like kwa lesso yake nyeupe na Yesu alimuachia ukumbusho wa sura yake

Lesso hii imehifadhiwa Roma
acheni uongo aliye achiwa picha ni nani?na picha ipo wapi mbona hatukuwahi kuiona itoeni hapa msipotoshe watu
 
Back
Top Bottom