Recent content by Lucci

  1. Lucci

    Kwa nini mademu wengi wanapenda kunywa Savanna

    The answer is savanna sio bia/lager bali ni cider. Cider ni kama wine vile. 1. Ingredients: “While beer and cider both rely on fermented sugars to produce alcohol, the two start from very different ingredients”, says Shatbhi Basu, Beverage Consultant and Director of STIR Academy of Bartending...
  2. Lucci

    Nafikiria kuitelekeza familia nianze maisha upya, sababu zangu ni hizi..

    Mambo makubwa niliyofanikisha maishani ni kwa sababu ya "Cleverness", everybody who spends time with me, huwa anaishia kusema mimi ni kama Yakobo wa kwenye Biblia, yaani sio Extremely Smart, but I'm Extra Ordinary Clever to a point I almost can get away with anything...CLEAN. ... Hivi Yakobo...
  3. Lucci

    Nafikiria kuitelekeza familia nianze maisha upya, sababu zangu ni hizi..

    Arrogancy yake ni kubwa.If he's clever and can get away with anything its kind of he can do a lot of mistakes and goes unpunished.This is not good in relationships and life in general.It will reach a point he'll glorifies himself and boosting kwamba kila alichopata ni nguvu zake.Mtoa riziki ni...
  4. Lucci

    Nafikiria kuitelekeza familia nianze maisha upya, sababu zangu ni hizi..

    Kusema ukweli kijana nahisi hujakomaa kiakili! Hivi unafikiri wewe una majukumu wakati husomeshi ndugu,hulei wazazi,wadogo waka huna mgonjwa una mgharamia matibabu!!? Mke mmoja na mtoto sio gharama sana wakati unaonekana una uwezo tena una bahari na akili....Wenzio tulivyoanza kazi tu tukaanza...
  5. Lucci

    Wamarekani wamtaka Rais Obama kukutana na Rais Magufuli!

    Nimempenda bure huyu raisi wa Botswana na MsemajiUkweli. Huu ni ukweli kabisa kwani mwisho wa siku nanai anasikiliza nini? Matamani maraisi wetu wangeelewa hivi siku zote kweli tungekua mbali.Gharama ya kusafiri inazidi faida itakayotokana na maongezi! Vitendo kwanza maneno baadae .
  6. Lucci

    Kwa Hili Sina Imani Na Hii Kampuni Na Ajira Zao

    Pole sana.Huu ndio mtindo mimi sipendi kwani unaweza kutoka Morogoro kuja Dar kwa interview kumbe wenzio wana mambo yao.Mimi pia kuna recruiting agencies sina hamu nazo kwani wanakuita unafanya usaili hata sehemu tano mwishowe unaambia ooh ile kampuni walitapa mtu wa jinisa fulani au wa aina...
  7. Lucci

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Lawama alizopata rais kuhusu hili bunge ni kubwa. Hivi kumbe kila dhehebu lilipeleka mtu? Kila kundi limepeleka mtu? sijui kama watasikilizana kule ndani! God have mercy.Wewe Mungu si mwepesi wa hasira na vitabu vitakatifu vinasema wabarikini wanaowaudhi.Pia tutii mamlaka iliyo kuu.
  8. Lucci

    Ushoga: Benki ya Dunia yasitisha mkopo kwa Uganda

    Hivi kwani sheria ikikataza watu wanaopenda si bado wataendelea kufanya wanachotaka?Mbona kuiba,uzinzi nk ni dhambi na hakuna sehemu zinaruhusiwa na bado watu wanafanya.Sioni sababu ya mataifa magharibi kushukia bango tukubali ushoga uwe kama haki kitu ambacho ni wazi kabisa si haki wala nini...
  9. Lucci

    King'amzi kipi kizuri kwa hapa Tanzania

    Hivi unaweza kubadili lugha maana naona matangazo yao kwenye hizi MBC zao za movies ni ya kiarabu na pia subtitle za movie zaojapo ile Dubai One mengi ni ya kiingereza vipi hizo MBC2,ACTION ,MBC 3 na 4?
  10. Lucci

    Dismas Nkunda: Tanzania must learn to be good neighbour - The Observer

    United States is a neighbour to Mexico but you cannot cross border from Mexico to US without papers?There is a different between refugee and illigal immigrants...So is US not a good neighbour to Mexico? I wonder why so many people (some immigrants) want to live here freely without proper...
  11. Lucci

    Tanzania's Unusual Immigration Case

    Muungano upo kimaandishi na katiba inaelezea ,uhamiaji wa wanyarwanda na wengineo ulitokea kwa sababu ya ukimbizi wa vita,kutafuta maisha na mambo mengine? Hatujawahi kuungana na Rwanda na kua nchi moja...two uncomparable events
Back
Top Bottom