MDAU
Traffick Mkoa wa Pwani mnalitia aibu Jeshi la Polisi, mnajipanga barabarani kila kituo cha daladala mnachukua buku (1,000) za madereva wa daladala.
Mnakaa kituo cha Kiluvya madukani, Bwawani, Gogoni, Kibamba shule, magari saba na kituo cha Mbezi Mwisho. Vituo vyote hivyo makondakta...
LUCAS MESHACK
Hivi karibuni serikali kupitia Bunge lilipitisha sheria ya tozo katika mihamala ya simu kwa njia ya simu. Sheria hiyo ilitokana na mapendekezo ya Bajeti ya Serikali 2021/22 pamoja na sheria ya fedha ilipelekea kuweka tozo katika miamala ya fedha inayofanywa kwa njia ya simu, jambo...
Naomba kujua, ivi kwa nini Smart Phone inapoteza contacts? Leo nimeamka asubuhi majina zaidi ya 20 hayapo. Anayejua anisaidie tafadhari.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.