Recent content by LUBEDE

 1. LUBEDE

  Nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga

  Acha kutongoza wanawake masikini wewe,upgrade your game!
 2. LUBEDE

  Movie: A Quiet Place 2, ni nzuri sana

  Hapa bado hamjui muvi kali,kwanza mna tv lakini? au mnaangalizia kwenye laptop? maana utamu wa muvi kali uwe na tv kuanzia inch 55 kwenda juu...
 3. LUBEDE

  Ndio maana Nampenda José Mourinho

  Josee ni kama kibwetere wa bongo,anaupiga mwingi,tusubiri jumapili hii..
 4. LUBEDE

  James Mbatia: Rais Samia mwanzo alitoa tumaini, sasa hivi mambo yanavurugika

  Wakamtengenezea na msemo kuwa ANAUPIGA MWINGI,sisi sasa MALAIKA waingilie kati watusaidie kutawala!
 5. LUBEDE

  Aliniacha kwa fedheha, lakini leo anahitaji msaada wangu

  Jamani,huyu jamaa bado anampenda huyu mwanamke na atamsaidia na atatupwa tena,muacheni apambane na hali yake..ila kwa maelezo yake inaonekana mwanamke hakumpenda jamaa,alikuwa tu hajakutana na mtu wake!
 6. LUBEDE

  Konde boy anapoteza pambano, wanasimba kapigeni kura jamani twitter

  ina maana tumuite yule longolongo mbunge wa mtama?
 7. LUBEDE

  Nini maana ya mtu kutoboa maisha?

  Kutoboa maisha ni kuwa na uhakika wa milo zaidi ya mitatu kwa siku na kwa umri wako wote uliobakiza hapa duniani,{kiufupi usiwe tegemezi kwa mtu yeyote}.. kuvaa vizuri,kuwa na afya njema ikiwepo uhakika wa akiba pindi ukipatwa na maradhi au tatizo lolote la ghafla,sio unaenda kukopa kopa,inakera...
 8. LUBEDE

  Ushauri: Nichukue gari ipi kati ya hizi?

  Hivi kutuelezea kuwa umejenga mjini na kijijini ina uhusiano gani na hitaji lako la gari? wewe unadai ni mkubwa ila bado mshamba, acha ushamba halafu jiamini, haya sasa ndio nakushauri, nenda kanunue VW,achana na hizo toys ulizoorodhesha hapo.
 9. LUBEDE

  Nimeamua kuoa Msabato

  Leo ndio nimejua kwanini hii dini imeenea sana upareni,kumbe siri ni ubahili...kwenye kudinywa hapo ndio usijidanganye,tunawala sana hao,na wanapenda mno ngono!
 10. LUBEDE

  Fast & Furious 9: Umeionaje?

  Tuachane kwanza na movie,hii ndio tv sasa,safi sana mkuu...
 11. LUBEDE

  Katika Maprofesa ninaowaamini Bungeni ni Profesa Kabudi

  Hivi haya matakataka ujue yalienda na wengi sana pale jumba jeupe?
 12. LUBEDE

  Hawa ndio wamiliki halali wa WASAFI LIMITED

  Hata aliyepost atakubishia,yaani hajui kapost nini..aisee!
Top Bottom