Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,929
- 3,985
We ke au me?
Hamna mkuuAu Yuko kama mkorea lips za kike,Hana ndevu ,babyface😅😅
Ulilizingatia hilo dogo ukasahau kubwa lililokupeleka.Nakuwa siko comfortable nahisi kama nafuatiliwa hivi nilijibanza sehemu walipokuwa watu wachache na kwenyewe ikawa hivyohivyo mwisho nikawa najifichaficha
Kuna Mtu anavujisha Siri zako kwa Majirani zako,Sasa hawawezi sema wanabaki kukuangalia tu,labda ulisha toka na Mke wa Mtu bila wwe kujijuwa,au kuna Mtu anakugongea Mke wako na habari ziko kitaa sema wwe peke yako ndiyo hujui kilicho sirini!!!Kuna member aliwahi kutoa thread humu ambaye situation yake inafanana na ya kwangu kwamba watu ambao siku zote unaishi nao kama majirani na hata unaofahamiana nao siku mmekutana kwenye mkusanyiko pengine mkutano unashangaa wanakutazama mpaka unajistukia.
Siku tukiwa msibani nilibaini watu wananikodolea macho majirani zangu na hata ambao hawanifahamu nilijikuta wananitazama tu, kina mama na wadada ndio ilikuwa balaa mpaka nikawa najiuliza kuna mistake nilifanya bila kujijua au kuna kitu gani pamoja na hayo mimi si mtu wa mambo ya ajabu ajabu na ninaishi vizuri tu na jamii.
Wapo Mademu kibao tu wanapenda sura ngumu na ndiyo zinawalegeza kunako!!Mwe sura chungu kuna mtu atakuwa interested nayo
Huyo anataka kusema labda umechukua shepu ya Bi Mkubwa wako badala ya kuchukua shepu ya Dingi yako!!Aisee hapo unataka kusema nini jamaa yangu
Unajua "kutokelezea" nadhani.Inawezekana mkuu kwa utazamaji wao ninahisi kitu unakuta mtu kama hivi anaenjoy kukutazama
Frog wapi we jamaa mwanaume frog inatoka wapi
[emoji38][emoji38][emoji38]Frog wapi we jamaa mwanaume frog inatoka wapi
Nadhani the evil spirit in you ndio sababu😂😂😂😂Kuna member aliwahi kutoa thread humu ambaye situation yake inafanana na ya kwangu kwamba watu ambao siku zote unaishi nao kama majirani na hata unaofahamiana nao siku mmekutana kwenye mkusanyiko pengine mkutano unashangaa wanakutazama mpaka unajistukia.
Siku tukiwa msibani nilibaini watu wananikodolea macho majirani zangu na hata ambao hawanifahamu nilijikuta wananitazama tu, kina mama na wadada ndio ilikuwa balaa mpaka nikawa najiuliza kuna mistake nilifanya bila kujijua au kuna kitu gani pamoja na hayo mimi si mtu wa mambo ya ajabu ajabu na ninaishi vizuri tu na jamii.
Nimeshahisi anachowazaHuyo anataka kusema labda umechukua shepu ya Bi Mkubwa wako badala ya kuchukua shepu ya Dingi yako!!
MweNadhani the evil spirit in you ndio sababu😂😂😂😂
Hamna jamaa angu sina chembe za ubwabwaMwanaume unaona aibu kutazamwa?$
Au una element za upunga?![emoji848][emoji304]
Sawa mkuuLow self esteem tu hiyo, ni jinsi unavyofikiria jinsi wengine wanavokufikiria, inaweza isiwe kweli wanakushangaa ila ikatokea kama coincidence tu na kwa vile ulisha ijaza akili au hisia zako utajikuta unaamini hisia zako zaidi.
Pia inaweza ikawa kweli wanakushangaa pia.
Kikubwa jitahidi ujali mambo yako tu. Ya kuku ni mayai na ya MUNGU ni mengi.
Du mkuu na mapumbu yangu natathminiwa ? Unataka kusema nini jamaa yanguUsidanganywe kwamba una kitu cha ziada,mpaka kutazanwa. Dunia ya sasa hakuna mwenye kitu cha ziada zaidi ya kwenye pesa.
Kaa sawa.Kama uko dar muda si mrefu utapendwa . Hapo ujue wanakutathimini vipi ukivalishwa gauni utakuwa kwenye mpendezo upi?
Halafu we jamaa bana unanikata stimuUsidanganywe kwamba una kitu cha ziada,mpaka kutazanwa. Dunia ya sasa hakuna mwenye kitu cha ziada zaidi ya kwenye pesa.
Kaa sawa.Kama uko dar muda si mrefu utapendwa . Hapo ujue wanakutathimini vipi ukivalishwa gauni utakuwa kwenye mpendezo upi?
Afya ya akili..Kuna member aliwahi kutoa thread humu ambaye situation yake inafanana na ya kwangu kwamba watu ambao siku zote unaishi nao kama majirani na hata unaofahamiana nao siku mmekutana kwenye mkusanyiko pengine mkutano unashangaa wanakutazama mpaka unajistukia.
Siku tukiwa msibani nilibaini watu wananikodolea macho majirani zangu na hata ambao hawanifahamu nilijikuta wananitazama tu, kina mama na wadada ndio ilikuwa balaa mpaka nikawa najiuliza kuna mistake nilifanya bila kujijua au kuna kitu gani pamoja na hayo mimi si mtu wa mambo ya ajabu ajabu na ninaishi vizuri tu na jamii.
Kuna member aliwahi kutoa thread humu ambaye situation yake inafanana na ya kwangu kwamba watu ambao siku zote unaishi nao kama majirani na hata unaofahamiana nao siku mmekutana kwenye mkusanyiko pengine mkutano unashangaa wanakutazama mpaka unajistukia.
Siku tukiwa msibani nilibaini watu wananikodolea macho majirani zangu na hata ambao hawanifahamu nilijikuta wananitazama tu, kina mama na wadada ndio ilikuwa balaa mpaka nikawa najiuliza kuna mistake nilifanya bila kujijua au kuna kitu gani pamoja na hayo mimi si mtu wa mambo ya ajabu ajabu na ninaishi vizuri tu na Afya ya akili