Hivi kwanini tunapenda kushangaana hivi?

Kuna member aliwahi kutoa thread humu ambaye situation yake inafanana na ya kwangu kwamba watu ambao siku zote unaishi nao kama majirani na hata unaofahamiana nao siku mmekutana kwenye mkusanyiko pengine mkutano unashangaa wanakutazama mpaka unajistukia.

Siku tukiwa msibani nilibaini watu wananikodolea macho majirani zangu na hata ambao hawanifahamu nilijikuta wananitazama tu, kina mama na wadada ndio ilikuwa balaa mpaka nikawa najiuliza kuna mistake nilifanya bila kujijua au kuna kitu gani pamoja na hayo mimi si mtu wa mambo ya ajabu ajabu na ninaishi vizuri tu na jamii.
Tatizo la afya ya akili ni kubwa nchini..nenda hospitali ukaonane na specialist akusaidie..maana unaongea vitu hata havieleweki...pole kwa changamoto though..
 
Usidanganywe kwamba una kitu cha ziada,mpaka kutazanwa. Dunia ya sasa hakuna mwenye kitu cha ziada zaidi ya kwenye pesa.

Kaa sawa.Kama uko dar muda si mrefu utapendwa . Hapo ujue wanakutathimini vipi ukivalishwa gauni utakuwa kwenye mpendezo upi?
Kama uko hai hujafariki Nitake radhi jamaa japo thread ni ya zamani
 
Kuna member aliwahi kutoa thread humu ambaye situation yake inafanana na ya kwangu kwamba watu ambao siku zote unaishi nao kama majirani na hata unaofahamiana nao siku mmekutana kwenye mkusanyiko pengine mkutano unashangaa wanakutazama mpaka unajistukia.

Siku tukiwa msibani nilibaini watu wananikodolea macho majirani zangu na hata ambao hawanifahamu nilijikuta wananitazama tu, kina mama na wadada ndio ilikuwa balaa mpaka nikawa najiuliza kuna mistake nilifanya bila kujijua au kuna kitu gani pamoja na hayo mimi si mtu wa mambo ya ajabu ajabu na ninaishi vizuri tu na jamii.
Hakuna mtu mwenye time na wewe unasumbuliwa na mawazo yako binafsi tu ya ajabu ajabu
Pia hali kama hiyo mabinti wengi wanayo na kufanya wajishtukie na kuona aibu wanapotembea barabarani lakini kiuhalisia hakuna mtu mwenye time na wewe
Na siku ukipewa mic uongee kwenye kadamnasi nauhakika utaanguka kwa pressure
 
Ok
 
Kama uko hai hujafariki Nitake radhi jamaa japo thread ni ya zamani
Ahahaaaa...! Huyu mwamba amekata moto kitambo hatunae,labda atakuomba radhi mkikutana mbinguni. Labda mtakuwa marafiki huko
 
Back
Top Bottom