Recent content by Lubebenamawe

  1. Lubebenamawe

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna mtu anayeweza kuchunguza Antaktika kwa uhuru, wanatuficha nini?

    Kwa mawazo kama haya tunaweza kwenda kufanya utafiti kule Antactica kweli?
  2. Lubebenamawe

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanaume wa kubadilisha naye mawazo

    Aliyeoa anapokelewa?
  3. Lubebenamawe

    JamiiForums Tanzania Nimeona magari yanakuwa na Plate Number Nyeusi, in maana gani?

    Kama hii hapa. Tusaidie kujua zinahusu taasisi gani?
  4. Lubebenamawe

    JamiiForums Tanzania Sababu kwanini jibu alilotoa Rais Samia kuhusu sanctions sio sahihi na alipaswa kujibu namna hii. Washauri hawakumwandaa?

    Jibu la Samia ni fupi, dhahiri na sahihi katika muktadha ya mahusiano ya kimataifa. Tanzania ni nchi isiyofungamana na upande wowote hatufungwi na masharti ya upande mmoja. Vikwazo dhidi ya Urusi ni vikwazo vya mataifa ya Magharibi na si vya Umoja wa Mataifa hivyo hatuna wajibu wa kisheria...
  5. Lubebenamawe

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete yuko live, anaongea kama Jakaya Kikwete. Like father like son, atatufaa sana in future baada ya zamu yetu!

    Mshitueni Pascal kwamba kuna watu wamehack akaunti ya kuanza kupost mambo ya ajabu...
  6. Lubebenamawe

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna kifungo cha nje au conditional discharge? Kukutwa na nyama ya Nguruwe Pori ni kosa la kumfunga miaka 20?

    420Kg kubebwa kwenye baskeli? Ni baskeli hizi nazozujua mimi?
  7. Lubebenamawe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Socrates hakuamini katika Demokrasia

    Well said. Maendeleo katika nchi za ulaya yamefanyika katika kipindi cha tawala za mikono ya chuma. Demokrasia imeletwa kama project ya nchi za Magharibi kuzifanya nchi za Africa zisifanikiwe.
  8. Lubebenamawe

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Acha kupiga ngumi ukuta utaumia mwenyewe. Rais ni Rais haijalishi kaingiaje madarakani. Iwe kwa mapinduzi au kwa wizi wa kura kama mnavyodai Rais ataendelea kuwa Rais.
  9. Lubebenamawe

    JamiiForums Tanzania Lema mjue anamfahamu Wenje mpaka familia huko Canada!!! ni snitch!

    https://youtu.be/HQMBBEXmloY?si=UvWfdPQAe7IcVBNZ
  10. Lubebenamawe

    JamiiForums Tanzania Kwa wale msiojua: Mimi ni mtoto wa Mfalme!

    Ni mtoto wa mfalme au binti mfalme
  11. Lubebenamawe

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya neno 'niko' na 'nipo' katika Kiswahili

    Sikusoma kiswahili katika level ya juu ila kwa uelewa wangu ni kwamba ukitaka kuelewa Hapo na huko basi nipo inaendana na hapo wakati huko inaenda na niko.
  12. Lubebenamawe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amepata wapi mamlaka ya kusema anasitisha shughuli za bunge?

    Vifungu ulivyonukuu mbona ni dhahiri vinampa Rais mamlaka makubwa sana dhidi ya Bunge siyo ya kusitisha tu bali kulivunja kabisa Bunge pale anapoona halikubaliani na matakwa yake.
  13. Lubebenamawe

    JamiiForums Tanzania Huyu dada kanifedhehesha sana!

    Mkuu amka kutoka usingizini usije ukafanya mambo ya ajabu....
  14. Lubebenamawe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Peter Madeleka: ACT ikiingia Madarakani, Tutahakikisha kila Askari anamiliki Ghorofa na Land Cruiser

    Hii sera ya ubwabwa iliyochangamka...🤓🤓🤓🤓
  15. Lubebenamawe

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna ubalozi wa Uingereza hapa nchini wakati Sisi ni koloni lake?

    Ubalozi upo sema hauitwi ubalozi unaitwa High Commission...
Back
Top Bottom