Recent content by lubagabalm

  1. L

    JamiiForums Tanzania Meru: Vijana Wasiofanya kazi kuchapwa viboko 70 kila mmoja

    Jamii za wafugaji ndio mila zao, yan wote ni mboko tu, kosa dogo ndo viboko 21
  2. L

    JamiiForums Tanzania Meru: Vijana Wasiofanya kazi kuchapwa viboko 70 kila mmoja

    Duuu huu uonevu, unaweza kukana kabila bure
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini kampuni za mabasi hazifanyi hivi Bongo, haya ni mapinduzi

    Tusiende mbali, Nairobi tu mabasi yanatembea usiku tu, ili mchna watu wafanye shughuli zao, na huo usiku speed yake sio ya kitoto, always usipotumia muda utachelewa kupata maendeleo, muda mabasi yetu yanatumia njiani maendelea yanachelewa, siku 2 mtu hajafika anakoenda then ageuze, muda bado...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini kampuni za mabasi hazifanyi hivi Bongo, haya ni mapinduzi

    Ni vyema viongozi wetu wakaiga maendeleo ya wengine, hapa kwetu mabasi hayakimbia hata, nenda nchi zingine hakuna bump kila sehem, na wanakimbia sana, hawasimami ovyo, ndio maana basi linatengenezwa a viti vipana kwa ajili ya kulala.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini hospitali zina mchoro na picha ya nyoka?

    Nmetoa ufafanuzi hapo juu
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini hospitali zina mchoro na picha ya nyoka?

    Sio nyoka ni myoo, huko nyuma sana ulitokea ugonjwa ambapo minyoo ilisambaa katika mwili wa binadamu, so hakukuwa na tiba yake, so ilitumika sindano kuchoma kwenye sehem myoo ulipo mwilini, ndo ikawa tiba ya kuua, ndio ikachukuliwa kama Alama ya Afya mnyooo na sindano
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Icon ya kudownlod naipata wapi
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Naanzaje kudownload icon siioni?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Jamani niko kwa hii website ya drama icon ya kudownload iko wapi nmefeli
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Korean drama mwisho wa matatizo
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wameru kusema wao si Wachaga inashangaza sana!

    M ni mmeru, kwa mbali tunasikilizsna na wasia, ila mila na tamaduni ni km waarusha, ni jamii yenye mila za kimasai na kiarusha, sio wachaga kabisa.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wafu wanapogeuzwa chakula cha wanyama

    Nakubaliana na mshana, jamii yetu zamani mtu akifa anafungwa kwenye mti, utaliwa na wanyama, na ukoo unahama hilo eneo , kwenda mbali kabisa
  13. L

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kubadili ownership Gari

    Mwanasheria aliethibithishwa anasaini pia
  14. L

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kubadili ownership Gari

    Iko zaid ya lak kulingana na bei ya gari
Back
Top Bottom