Recent content by lsn

  1. L

    JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo vingefanyika kama Mungu angekuwepo kweli

    Unaweza kua na matatizo
  2. L

    JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo vingefanyika kama Mungu angekuwepo kweli

    Fuatilia sayansi. Hakuna kitu kama mapepo
  3. L

    JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo vingefanyika kama Mungu angekuwepo kweli

    Mimi siamini kama kuna mungu kwa sababu moja tu, Nayo ni kwamba wale wanaodai kuwa mungu yupo wameshindwa kuthibitisha madai yao. Nimeshawaendea marafiki wengi wanithibitishie, lakini nikaishia kupewa vitisho, kwamba usipoamini utachomwa we amini tu. Wengine wamesema jambo baya litakupata...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo vingefanyika kama Mungu angekuwepo kweli

    All the kings men and all the kings horses couldn't put humpty dumpty back together again that's because there is no humpty dumpty and there is no god. None, not one, never was, no god George Carlin.
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Girlfriend wangu kanitumia hela bila kumuomba

    Ucjar izo nahic umekopeshwa zitarudi mkioana
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani eti naye anataka kunizalia mtoto

    Muulize mkeo, akiridhia nawewe ndo umjaze mimba tena mapacha maana ye c ndo ametaka bwana!
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nauza Mayai ya kuku 'chotara'

    Niko Mtwara nitayapataje
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini mahusino yangu hayafikii malengo?(nini wanawake wanataka)

    Una gar aina gani?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kamanda John D. Pallangyo kusimikwa kesho Arumeru Mashariki

    Ccm ilishakufa huko hee mbona waota mchana kijana mwenzetu? Amkia dili ni chadema tuuu
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana ujauzito wa mwingine na anataka tuoane

    Mwanamke ni huyo tuu duniani?
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I am looking for a single parent to marry me

    Madada zetu wanapenda hela sana ndio maana wanachukuliwa na wastaafu. Kitu brand new kinajaa kwa second hand hahaaaaaaa!!
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanandoa alazimishwa kuzama chumvini, ni sahihi?

    Ebstein bar virus anahusika APA. Vigelegele CIO vizur acheni
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanandoa alazimishwa kuzama chumvini, ni sahihi?

    Hakyamungu mapenzi no utumwa na dunia haijakaribia Keisha Bali ndo kwaaaanza inaanza. Mi vigelegele sipigi hata wanipe nn. Ni maradhi na mikansa na kufupisha maisha....
  14. L

    JamiiForums Tanzania Smartphone original

    wadau kumekua na maduka mengi yanauza smartphone ambazo sio original. naomba nielezwe ni wapi ntapata original
Back
Top Bottom