Wewe utakuwa muumini wa hawa manabii feki na umeshajimaliza kupitia sadaka ya kujimaliza na umeaminishwa 2024 ni zamu yako kununua gari nakuhakikishia kama hutofanya kazi we tayarisha sadaka ya kujimaliza tena tutakapoukaribisha mwaka 2025
Mimi ni dereva ngoja niitetee hii hoja kwa niaba ya wenzangu, zipo sababu kadhaa;
1. Kuzuia abiria kuharisha hovyo, ukiruhusu kusimama maeneo yenye bei nafuu watu watakula hovyohovyo na kuanza kutapita kuharisha hii itapelekea safari kuwa goigoi
2. Tukiwapeleka pale mjue sisi madere tunakula...
Ukiona hivyo ujue kwenu hakuna hata banda la kuku la kurithi lakini hakika baba yako angekuwa na ghorofa halafu usikie dada yako kaliuza bil. 2 na yupo hotel fulani anakula bata na shemeji yako sidhani kàma ungekuja na hii hoja
CHADEMA hakuna huo msamiati uitwao KADA unaonekana umejazwa kitu huko lumumba kama ni magimbi subiri kwenda toilet vinginevyo subiri miezi 9 ukajifungue rangi ya kijani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.