Wakuu, habari za muda huu.
Naleta mada hii mbele yenu nikiwa na taharuki, lakini lengo langu ni kupata uelewa na maarifa kutoka kwenu wataalamu.
Siku chache zilizopita nilipoteza kadi yangu ya ATM (kadi ya benki). Wakati bado nahangaika kufikiria jinsi ya kwenda benki kuifungia (block), ndani...
Asee kumbe Breakthrough ipo ,,
Mkuu mimi ndio naingia huko ulikotoka nataka nipite nyayo zako na ntadeal na hustle moja tu kati ya hizo ili niwe focused zaidi.
Mkuu m naona hiyo tabia yako itaisha yenyewe automatically tu, we kuwa na amani
Huwez amini kuna mwingine anaishi decent lakini nae anatamani mara moja moja kuvurugwa kama ww,
Kwahyo cha kufanya ishi na ufaidi kwelkwel 😀 😀
Ili usije lialia mbeleni kwamba kwanini hukufaidi vilivyo zile enzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.