Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,546
- 22,981
hebu acha kunisikitisha, naweza anza kumwaga machozi 😂Mm nna mchango mkubwa sana hadi kimataifa n bc tuu nyie mnanichukulia poa 😂
hebu acha kunisikitisha, naweza anza kumwaga machozi 😂Mm nna mchango mkubwa sana hadi kimataifa n bc tuu nyie mnanichukulia poa 😂
😹😹😹 Dah!
Uliza lucas ni nani😁😁
Inasikitisha sana mkuu 😭Champion kaniambia hakuna mtu kama huyo jf😆
Ngoja waje kukupa muongozo ,,😅
Huyo ataniharibia tecno yanguUliza lucas ni nani😁😁
😀😀😀 Teknolojia mkuuWananichambua haswa mpaka Mahondaw katajwa na wengine wengine...
AI wajinga sana...
Mbona kuna jamaa aliweka taarifa zetu humu jukwaani kutoka huko Grok! Tena hata mimi nilimuomba na akateremsha wasifu wangu uliotukuka.Grok anaangalia taarifa zako kutokana na michango yako X tu havuki zaidi ya hapo.