Recent content by lowassa2014

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

    Ebu na mimi nisaidie ndugu huyo daktari wako
  2. L

    JamiiForums Tanzania Je, kuna tiba mbadala ya kansa?

    Je unazo dawa za endemic karposy sarcoma ni aina pia ya kansa na shilingi ngapi kwa dozi mpaka mgonjwa apone nijibu mapema tafadhali
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tiba ya Kansa na Kisukari

    Nitakupataje mkubwa nateseka sana.....
  4. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

    Jamani mwenye kufahamu dawa ya kanza kwa aina zake zote plz naumwa sana nimetumia chermotherapy ila bado
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu hii kampuni yenye hizo option inaitweje plz naomba unijuze kwa inbox 0759524287 nitashukuru sana
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Uko pouw kiongozi
  7. L

    JamiiForums Tanzania Maziko ya Mbwa wa Nassari yalivyowakera WanaChadema

    Ww ni ccm lazima kama hupendi kuzikwa kwa mbwa uhame tu au ulitaka aliwe nyama
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ila zile tano za mwisho not included
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuanzia 9 mkuu
  10. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusikiliza whatsapp voice note kwa siri, bila kutumia ear/head-phone

    Nataka kujua jinsi ya kufuatilia msg na pia sauti inayoingia kwenye simu ya mchepuko bila yy kujua nifanyeje
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huo utapel kwel mtu aseme anatoa free tips baadae tena aseme ni kulipia wiz mtupu
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau leo ebu mnisaidie kati ya hawa jamaa atletico madrid na psg inakuweje hapo
  13. L

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo arusha halmashauri ya meru niende Arusha d.c
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi sipendelei sana liverpool leo maana nasikia yule mwafrika wao mfunga magoli bado majeruhi
Back
Top Bottom