Recent content by Lowaguli

  1. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wairaq wapoje kitabia?

    Niliwahi kutana na pisi kali kutoka mbulu kipindi nipo UDSM alionekana kunipenda Sana sasa akawa analazimisha tuoane nikamwambia subiri Mimi nikawa namchunguza Kwa Siri, yaani hiyo tribe hovyo Sana kumbe shemeji zangu akina Garmaa walikuwa wanakula. Kuna siku nilimkuta Garmaa chumbani kwake mi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni mwanzo wa anguko la Tanzania kidiplomasia? Kuna nini nyuma ya pazia?

    Acha ujinga mbona watu kanda ya ziwa na kanda zingine wanatahiriwa Kwa msaada wa walipa Kodi wa marekani kujiamini unakoongelea ni Kwa Aina gani? Ktk mazingira ya kawaida kukatwa GOVI Kwa msaada ktk nchi yenye kila Aina ya mali ni aibu kubwa lakini viongozi hawa wanapokea tena Kwa mikono miwili...
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa hatima ya huyu dada mpangaji

    Huyo demu atakuwa shapeless lakini angekuwa pisi la maana wala usingefika huku wapo watoto wakali ambao hata akiwa mbali para linaumuka
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ma house boy na wake za watu

    Hapa ndo unakutana na habari kwamba kama kulikuwa na shamba boy nyumbani kwenu kabla hujazaliwa muheshimu Sana
  5. L

    JamiiForums Tanzania Maigizo ya wamama wa Urambo kuhusu maji

    Unadhani kuna igizo la kipuuzi linalozidi lile la magufuli kudanganya watu kwamba kitambulisho cha mjasilia Mali kinaweza tumika kukopa benki na kutibiwa bure yaani kama bima ya afya? Sasa hapa Lamadi tulivua mashati tukadeki road ili Roadmaster apite unadhani huko ni ku act?
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti: Tongoza wake za watu, wanavyokubali jiulize kwa mkeo hali ikoje?

    Hii dunia haina wema unaweza ukawa mtulivu na mkeo akabamizwa sasa dawa ni ....atakaejichanganya lazima aumie
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wanaume! Nimewaita, pimeni DNA watoto wenu wanapozaliwa

    Kuna mtoto jirani kaota kipara cha makonzi ya Baba yake aliyejua kuwa ni mzazi kumbe social father hivyo kila uchao dogo anaitwa mara konzi "MBWEE" bila 7bu.
  8. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 TCAA chunguzeni ndege anayotumia Lissu

    Huku kanda ya ziwa Lissu aliposema wakulima wa pamba wamekopwa na na akiingia huo upuuzi utakomeshwa ndani ya siku tatu wakulima wakaanza kulipwa na akati pamba ni ya 2018 HAKIKA #NIYEYE 2020 maana asingesemea hili sijui kama wakulima wangelipwa
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kuna kundi la watu wanaumia wakisikia Tundu Lissu akielezea tukio lake la kupigwa risasi

    Unavyoongea huku umebinua kichuguu utadhani upo mombassa
  10. L

    JamiiForums Tanzania Magufuli ang'ara kwenye Sekta ya Kilimo. Hongera sana CCM

    Mleta mada usipotoshe umma Mimi nipo Handeni watu wamepigizwa hiyo hela walengwa wameambulia 7% ya pesa yote na 93% imeliwa kupitia vikundi feki vya vigogo wakiwemo wanasiasa na viongozi wa serikali. Handeni ina kata 27 na kata 9 ndiyo zilikuwa na vikundi lakini vingi ni feki, nipo pamoja nawe...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kuna kundi la watu wanaumia wakisikia Tundu Lissu akielezea tukio lake la kupigwa risasi

    Kwa mfano sasa hivi wewe ukimenywa marinda hadharani na kundi la watu hadi ukazi100 unadhani uongozi wa eneo husika watasubiri ufufuke ndo wahalifu wachukuliwe hatua?
  12. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bila Dkt. Bashiru kuingilia kinachoendelea Tabora Mjini, Jimbo linakwenda Upinzani

    Tena yule kiumbe wa ajabu kutoka burigi atashangaa kipigo cha mbwa koko asubuhi na mapema kisha tunamrudisha kule Bujumbura Kwa mkokoteni wa mbuzi
  13. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sisi sio wajinga, Ulipochukua tu madaraka ukaanza na kubomoa nyumba zetu!

    Hadi utakapotoka milembe
  14. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Nipo hosp. ila nimecheka Sana kwamba hajaanza Kula mahindi kwani yeye genda eka? Kipindi hiki atakula hadi michembe matobolwa mlenda aina ya mwage wamdhibiti Kula asijeleta shida ya kuchimba dawa mara ooh tumbo maana anaweza kwenda sehemu akala maboga, mahindi ya kuchoma, miwa, mayai akajikuta...
Back
Top Bottom