Maigizo ya wamama wa Urambo kuhusu maji

Haya Ni maigizo ya wamama wa Urambo wa Baraza la wanawake CHADEMA, hiki ndicho walichoamua kukifanya kwa kujitengenya wenyewe na kucheka wenyewe kwa kujiongopea wenyewe huku wakitaka kuwadanganya watanzania .

Nimejaribu kuwaza hivi Kama kweli Urambo kuna tatizo la maji ujasiri wa hawa akinamama wa kutandika nguo zao chini kwenye vumbi wanapata wapi wakati hakuna maji ya kufulia hizo nguo jibu Ni kwamba haya Ni maigizo tu .

Kama tatizo la maji lipo Urambo vijana wa Urambo wamepata wapi maji ya kumwagia barabara na kudeki ili mgombea wachadema apite jibu Ni kwamba haya Ni maigizo ya CHADEMA.

Kama kweli Urambo hakuna maji hizi nguo walizovaa na kupendeza kabisa wanafulia maji ya wapi au wanafulia damu nguo zao jibu linakuja Ni kwamba hivi Ni vionja tu vya Uchaguzi kwa CHADEMA.

Kama Urambo hakuna maji hawa akinamama na wababa wanaoonekana wanaafya nzuri kabisa wanapikia nini na wanakunywa maji au matope jibu Ni kwamba wanakunywa maji safi na Salama sema wameamua kufanya the isidingo

Kama Urambo hakuna maji hii jeuri ya akinamama kusimama juani wanaitoa wapi wakijua miili yao itatoka jasho na kuchafuka na inaweza kunuka wanaitoa wapi mwisho wa siku Ni maigizo ya tu yanafanyika .

Nimalizie kwa kusema uongo una mwisho wake Mama Magreth Sitta Mbunge wa URAMBO atatolea ufafanuzi zaidi dhidi ya haya maigizo ya watu kununuliwa.
Usiogope Mama Magreth Sitta wana Urambo watakuchagua kwa kishindo.
 
Tandikiwa na wewe
 
... kiumbe chochote kwa nyakati zetu hizi kikishajitanabaisha na neno "uzalendo" ni pumba tupu zitatoka kinywani! Ujinga!
 
Karibia nchi nzma maji nitatizo hadi sasa kama hufahamu, lakini ukosefu wa maji unavyotaka kuutafsiri ww ingebidi wote wawe wamekufa maana unataka iwe hakuna hata tone moja
 
Mleta mada umeshindwa kutambua watu wanaposema kitu fulani hamna wanamaanishana nini.Ina maana wananchi wakisema mfano sukari hakuna,ukiwakuta watu wanakunywa chai na wameweka sukari je utasema watu hao wanafanya maigizo?,

Wanaposema kitu fulani hamna wanamaanishana kinapatikana kwa shida na haimaanishi hakipo completely.Najua ukisikia neno maji hakuna akili yako ndogo inakutuma kufikiri hamna hata tone la maji,ingekuwa hivyo kama akili yako ndogo inavyokutuma Je watu hao wa TABORA unadhani wange survive namna gani bila maji?
 
Urambo maji safi yanapatikana kwenye chemchemi ambako vijana hupakia kwenye madumu na kusambaza kwa mikokoteni wakiuza dumu sh300 hadi 500 kiangazi na kuna umbali usianze uliza kwa nini kina mama hawayafati huko,so literally Urambo maji hakuna
 
Not only Urambo but also Tabora. JPM government continuing with constructing big water supply project (the water from lake Victoria) that's going to solve problems in Urambo. His asking for your vote so that he can work for another five years.
 
Siasa imegeuka kuwa sanaa ya maigizo. Amahakika this time watashindwa kwa kishindo. CDM ya 2020 dhaifu Sana.
Unadhani kuna igizo la kipuuzi linalozidi lile la magufuli kudanganya watu kwamba kitambulisho cha mjasilia Mali kinaweza tumika kukopa benki na kutibiwa bure yaani kama bima ya afya?
Sasa hapa Lamadi tulivua mashati tukadeki road ili Roadmaster apite unadhani huko ni ku act?
 
Haya Ni maigizo ya wamama wa Urambo wa Baraza la wanawake CHADEMA, hiki ndicho walichoamua kukifanya kwa kujitekenya wenyewe na kucheka wenyewe kwa kujiongopea wenyewe huku wakitaka kuwadanganya watanzania .

Nimejaribu kuwaza hivi Kama kweli Urambo kuna tatizo la maji ujasiri wa hawa akinamama wa kutandika nguo zao chini kwenye vumbi wanapata wapi wakati hakuna maji ya kufulia hizo nguo jibu Ni kwamba haya Ni maigizo tu .

Kama tatizo la maji lipo Urambo vijana wa Urambo wamepata wapi maji ya kumwagia barabara na kudeki ili mgombea wachadema apite jibu Ni kwamba haya Ni maigizo ya CHADEMA.

Kama kweli Urambo hakuna maji hizi nguo walizovaa na kupendeza kabisa wanafulia maji ya wapi au wanafulia damu nguo zao jibu linakuja Ni kwamba hivi Ni vionja tu vya Uchaguzi kwa CHADEMA.

Kama Urambo hakuna maji hawa akinamama na wababa wanaoonekana wanaafya nzuri kabisa wanapikia nini na wanakunywa maji au matope jibu Ni kwamba wanakunywa maji safi na Salama sema wameamua kufanya the isidingo

Kama Urambo hakuna maji hii jeuri ya akinamama kusimama juani wanaitoa wapi wakijua miili yao itatoka jasho na kuchafuka na inaweza kunuka wanaitoa wapi mwisho wa siku Ni maigizo ya tu yanafanyika .

Nimalizie kwa kusema uongo una mwisho wake Mama Magreth Sitta Mbunge wa URAMBO atatolea ufafanuzi zaidi dhidi ya haya maigizo ya watu kununuliwa.
Urambo kuna maji ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Unadhani kuna igizo la kipuuzi linalozidi lile la magufuli kudanganya watu kwamba kitambulisho cha mjasilia Mali kinaweza tumika kukopa benki na kutibiwa bure yaani kama bima ya afya?
Sasa hapa Lamadi tulivua mashati tukadeki road ili Roadmaster apite unadhani huko ni ku act?
Jinalako tu linaonyesha unaishi maeneo ambayo hakuna adha ya kusumbuliwa kwa wajasiliamali. Sisi hapa town tumeshanza kuonja faida ya vitambulisho (a.k.a smart card) ya mjasiliamali. JPM amesema majalibio yamefanyika. JPM 5 tena kaziendeleee.
 
Hata kama ni maigizo ila hayazidi maigizo ya CCM kusema walizalisha ajira milioni 6 kwa miaka 5!
 
Haya Ni maigizo ya wamama wa Urambo wa Baraza la wanawake CHADEMA, hiki ndicho walichoamua kukifanya kwa kujitekenya wenyewe na kucheka wenyewe kwa kujiongopea wenyewe huku wakitaka kuwadanganya watanzania .

Nimejaribu kuwaza hivi Kama kweli Urambo kuna tatizo la maji ujasiri wa hawa akinamama wa kutandika nguo zao chini kwenye vumbi wanapata wapi wakati hakuna maji ya kufulia hizo nguo jibu Ni kwamba haya Ni maigizo tu .

Kama tatizo la maji lipo Urambo vijana wa Urambo wamepata wapi maji ya kumwagia barabara na kudeki ili mgombea wachadema apite jibu Ni kwamba haya Ni maigizo ya CHADEMA.

Kama kweli Urambo hakuna maji hizi nguo walizovaa na kupendeza kabisa wanafulia maji ya wapi au wanafulia damu nguo zao jibu linakuja Ni kwamba hivi Ni vionja tu vya Uchaguzi kwa CHADEMA.

Kama Urambo hakuna maji hawa akinamama na wababa wanaoonekana wanaafya nzuri kabisa wanapikia nini na wanakunywa maji au matope jibu Ni kwamba wanakunywa maji safi na Salama sema wameamua kufanya the isidingo

Kama Urambo hakuna maji hii jeuri ya akinamama kusimama juani wanaitoa wapi wakijua miili yao itatoka jasho na kuchafuka na inaweza kunuka wanaitoa wapi mwisho wa siku Ni maigizo ya tu yanafanyika .

Nimalizie kwa kusema uongo una mwisho wake Mama Magreth Sitta Mbunge wa URAMBO atatolea ufafanuzi zaidi dhidi ya haya maigizo ya watu kununuliwa.
Igizo ni sehemu ya kufikisha ujumbe kwa wahusika,ni sawa na sanaa zingine kama music, porms etc
 
Mkoa mzma wa Tabora hamna maji.
 
Zoezi ni lile lile kura zote za ndio ni kwa Mzalendo wa kweli JPM.

October 28th tusifanye makosa kura zote ziende CCM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mwananchi mwenzangu kumbuka huduma muhim ya maji ni hitajio endelevu. Katika kipindi Cha miaka 5 ya JPM, jiji la DSM upatikanaji wa maji umefikia asilimi zaidi ya 80 kazi inaendelea. I am very much sure mitano ijayo shida ya upatikanaji katika hayo baadhi ya maeneo ya Dar itakwisha kabisa.
Ivi JPM alitoka chama gani vile? Sasa unamaanisha ile miaka kabla ya JPM ilipotea bure? Au miaka hiyo serikali ilikuwa inaongozwa na UDP?
 
Haya Ni maigizo ya wamama wa Urambo wa Baraza la wanawake CHADEMA, hiki ndicho walichoamua kukifanya kwa kujitekenya wenyewe na kucheka wenyewe kwa kujiongopea wenyewe huku wakitaka kuwadanganya watanzania .

Nimejaribu kuwaza hivi Kama kweli Urambo kuna tatizo la maji ujasiri wa hawa akinamama wa kutandika nguo zao chini kwenye vumbi wanapata wapi wakati hakuna maji ya kufulia hizo nguo jibu Ni kwamba haya Ni maigizo tu .

Kama tatizo la maji lipo Urambo vijana wa Urambo wamepata wapi maji ya kumwagia barabara na kudeki ili mgombea wachadema apite jibu Ni kwamba haya Ni maigizo ya CHADEMA.

Kama kweli Urambo hakuna maji hizi nguo walizovaa na kupendeza kabisa wanafulia maji ya wapi au wanafulia damu nguo zao jibu linakuja Ni kwamba hivi Ni vionja tu vya Uchaguzi kwa CHADEMA.

Kama Urambo hakuna maji hawa akinamama na wababa wanaoonekana wanaafya nzuri kabisa wanapikia nini na wanakunywa maji au matope jibu Ni kwamba wanakunywa maji safi na Salama sema wameamua kufanya the isidingo

Kama Urambo hakuna maji hii jeuri ya akinamama kusimama juani wanaitoa wapi wakijua miili yao itatoka jasho na kuchafuka na inaweza kunuka wanaitoa wapi mwisho wa siku Ni maigizo ya tu yanafanyika .

Nimalizie kwa kusema uongo una mwisho wake Mama Magreth Sitta Mbunge wa URAMBO atatolea ufafanuzi zaidi dhidi ya haya maigizo ya watu kununuliwa.

Mimi ni mzaliwa wa urambo

mzaliwa wa kalemela A na kwa sasa nipo boma village Jirani naishi boma village karibia na kwa mama Sita

Ni kweli urambo kuna tatizo kubwa la maji
Muda mrefu sana
 
Haya Ni maigizo ya wamama wa Urambo wa Baraza la wanawake CHADEMA, hiki ndicho walichoamua kukifanya kwa kujitekenya wenyewe na kucheka wenyewe kwa kujiongopea wenyewe huku wakitaka kuwadanganya watanzania .

Nimejaribu kuwaza hivi Kama kweli Urambo kuna tatizo la maji ujasiri wa hawa akinamama wa kutandika nguo zao chini kwenye vumbi wanapata wapi wakati hakuna maji ya kufulia hizo nguo jibu Ni kwamba haya Ni maigizo tu .

Kama tatizo la maji lipo Urambo vijana wa Urambo wamepata wapi maji ya kumwagia barabara na kudeki ili mgombea wachadema apite jibu Ni kwamba haya Ni maigizo ya CHADEMA.

Kama kweli Urambo hakuna maji hizi nguo walizovaa na kupendeza kabisa wanafulia maji ya wapi au wanafulia damu nguo zao jibu linakuja Ni kwamba hivi Ni vionja tu vya Uchaguzi kwa CHADEMA.

Kama Urambo hakuna maji hawa akinamama na wababa wanaoonekana wanaafya nzuri kabisa wanapikia nini na wanakunywa maji au matope jibu Ni kwamba wanakunywa maji safi na Salama sema wameamua kufanya the isidingo

Kama Urambo hakuna maji hii jeuri ya akinamama kusimama juani wanaitoa wapi wakijua miili yao itatoka jasho na kuchafuka na inaweza kunuka wanaitoa wapi mwisho wa siku Ni maigizo ya tu yanafanyika .

Nimalizie kwa kusema uongo una mwisho wake Mama Magreth Sitta Mbunge wa URAMBO atatolea ufafanuzi zaidi dhidi ya haya maigizo ya watu kununuliwa.
Hawajamaaa huwa nasema, inje ya kiki na maigizo,kichwani niweupe kabisaa . ona sasa hili igizo tayari limeshabumaa.
 
Back
Top Bottom