Utafiti: Tongoza wake za watu, wanavyokubali jiulize kwa mkeo hali ikoje?

Hiyo kitu iko same kwa waume za watu

Waume za watu hawajatulia hata kidogo,sijui hivyo viapo ama maamuzi ya kuoa huwa mnashikiwa bunduki kuyafanya?tena sasa mnaona ni haki yenu kabisa kuwa na mpango kando
Mke ameumbwa kwa ajili ya mme mmoja, lakini mme Ni kwa ajili ya wanawake.
 
Ndio maana waathirika wengi ni walioko kwenye ndoa kuliko single,maana tatizo LA ndoa hata kama wewe ni muaminifu mwenzako akitoa tu paja nje inakugharimu hata kama wewe ni muaminifu kiasi gani.
Na ndiyo ukweli walio kwenye ndoa ndiyo waathirika wakubwa
 
Bora hata anayetembea nao kuliko huu mchezo unaocheza. Ukija kushtuka hatari yake itakuwa too late.
 
Hatari ni ipi hapo mlamu!
Ulitaka kuandika mtaalaam?

Anyways, kuna kijana alikuwa na tabia inayofanana na hiyo, bahati mbaya kukatokea tatizo la mke kuhisiwa anachepuka akawa anafatiliwa, katika harakati za kucheza cheza na wake za watu huyu kijana akajikuta kaingizwa kwenye main suspect ilihali siyo, kiufupi ni kuwa kijana alipata wakati mgumu sana kujieleza kuwa hakuwa na nia ya kutembea na huyo mke wa mtu lakini ilikuwa too late...
 
Mlamu na mtaalamu ni tofauti kabisa, ila fureshiii nimekupata hofu yako.
 
Ibrahimu aliponzwa na mkewe Sarai aliyeona kama watazeeka na kufa bila ya kupata mtoto(maana walichelewa kupata mtoto ktk ndoa yao). Ibrahimu alikuwa mwaminifu sana, sauti ya kike ikamponza.

Uaminifu ni tunda la Roho (WAGALATIA 5:22). Kwa mtu yeyote aliyeokoka akajazwa na Roho Mtakatifu uaminifu kwake ni ishu ndogo sana. Na sio uaminifu tu, bali mtu aliyemwamini Yesu atakuwa na UPENDO, FURAHA, AMANI, UVUMILIVU, UTU WEMA, FADHILI, KIASI, UPOLE.

UKITAKA UWE NA HIZO TABIA TAJWA HAPO JUU, NJOO KWA YESU! Milango iko wazi.

JESUS IS LORD!
Eeh! yamekuwa hayo tena!
 
Wake za watu wanachepuka sana kwa sababu wamechoka kubakwa uko kwenye ndoa zao, wameona isiwe tabu bora wakatoe papuchi uko kwa wazibua mitaro
 
Hii dunia haina wema unaweza ukawa mtulivu na mkeo akabamizwa sasa dawa ni ....atakaejichanganya lazima aumie
 
Back
Top Bottom