Wataalamu wanasema 85% ya wanawake mpk wanakufa hawajawah kufika kileleni, yaan hawajui kufika kileleni ni kitu gani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wastani wa mwanamke kuridhika wakati wa tendo ni dk 15, ukiona unafanya mapenzi na mwanamke kwa muda huo na hajaridhika basi kuna tatizo la kihisia kati yenu..
Kupiga bao nyingi hakuna uhusiano wowote na kumridhisha mwanamke, sana sana hayo ni matumiz mabaya ya nguvu.
Sent using Jamii Forums...
Mkuu Sect 11-19 si zinazungumzia Deductions au hyo Act ya mwaka gani..?? Mi nadhani akisoma Section 7 ya Income Tax Act 2004 Revised Edition 2008 ndio ataelewa zaidi kuhusu mada yake hyo, maana kila kitu kimeelezwa vizuri kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa alikua na ile "mentality" ya mimi sioi nawatia mimba tu nakua na watoto, kweli bhna alitia mimba wanawake watatu, kwahyo akawa na watoto 3 kila mmoja na mama yake. Akawa anatoa mahitaji fresh kote, sasa kama mnavyojua wanawake hua wanachukulia mtoto kama "Collateral" ili kupiga pesa...
Wakuu
Kuna kiwanja kinauzwa maeneo ya Ituha Mbeya mjini, kiwanja kina ukubwa wa 14.8m to 13.4m, kipo karibu na soko na huduma zote muhimu zinapatikana karibu kabisa.
Bei ya kiwanja ni 3M ila maelewano yapo.
Contact: 0689 882280
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.