Kiwanja kinauzwa Ituha Mbeya

Kiwanja kinauzwa Ituha Mbeya

Lovinho

Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
7
Reaction score
18
Wakuu
Kuna kiwanja kinauzwa maeneo ya Ituha Mbeya mjini, kiwanja kina ukubwa wa 14.8m to 13.4m, kipo karibu na soko na huduma zote muhimu zinapatikana karibu kabisa.
Bei ya kiwanja ni 3M ila maelewano yapo.

Contact: 0689 882280

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom