Recent content by Loveleads

  1. Loveleads

    Yaani Joshua na Clemence wamefariki ila ni kama hakuna kilichotokea. Are we Hamas sympathisers?

    Sasa kwa akili za kawaida unafikili tungefanyaje? Unaowasema wamefanya unyama huo Kisasi kinawatafuna mpaka sasa hivi hadi watoto wadogo. Ni bora kunyamaza na kuwaombea hiyo nayo ni siraha tosha.
  2. Loveleads

    DOKEZO Responded Kama wewe ni mchawi usije Kigoma kipindi hiki, Kuna operesheni kubwa sana inaendelea

    Hao waganga Wanapotoa nguvu ya kupambana na wachawi,ndipo na hao wachawi wanapochota nguvu ya uchawi,kwa hiyo tunasema uo ni mchezo wa kiini macho.Hao wote ni Serikali moja Wizara ndio tofauti.Kipofu awezi kumtoa kipofu mwenzie shimoni zaidi ni mipango ya kuwafanya watu waamini uchawi zaidi na...
  3. Loveleads

    Dondosha mstari wowote wa Biblia unaoupenda leo ni Ijumaa

    Mnachanganyikiwa sana na JINA MUNGU. MUNGU ni NGUVU (POWER ABOVE ALL POWERS). Labda nikufungue kidogo kwa mfano wa kawaida. UMEME ni Nguvu NYUKRIA ni Nguvu ATOMIC pia ni Nguvu JUA Pia ni Nguvu Lakini Nguvu zote hizo zinaweza zikawa na jina moja la NGUVU YA NISHATI (POWER ENEGY).Maana yake ni...
  4. Loveleads

    Mamlaka ya kiroho ndani ya mbingu - je, yalikuwa na pande mbili?

    Mimi nikitafakari MUNGU na Shetani napata picha kwamba,Shetani ni Roho tu kama Roho ya binadamu isipokuwa haiko ndani ya Mwili hivyo uwezo wa kujitutumua ni Mkubwa. MUNGU ni Nguvu inayotawala na kuumba au kuzalisha Nguvu zingine chini yake. MUNGU aliumba Dunia lakini akaweka Nguvu (positive...
  5. Loveleads

    Majaliwa aondolewe Jeshi la Zimamoto na arudishe zawadi zote alizopewa

    Hii ndio inaitwa Roho halisi ya kichawi,umebakiza kukutwa unazunguka nyumba za watu usiku.
  6. Loveleads

    Wenye dhambi nzito tukutane hapa

    Kitendo cha kufunguka namna hii ni ishara ya namna gani nafsi yako inavyoteseka na inatafuta kampani kama kuna watu wengine ili isijione iko peke yake.pole sana ndugu yangu.. Hapa watu wataendelea kuipeleka kwenye mateso zaidi nafsi yako kwa sababu hawajui ni kwa kiwango gani unapitia maumivu...
  7. Loveleads

    Siri niliyoipata katika kufunga siku 21 kila mwanzo wa mwaka

    Hapa ndipo watu wanashindwa kujua ukweli halisi wa kufunga.Maelekezo ya kufunga yamebainishwa wazi kwenye Biblia na utiisho unatakiwa uufanye Rohoni. Isaiah 58:5-8 Je! Kufunga namna hii ni saumu niliyoichagua mimi? Je! Ni siku ya mtu kujitaabisha nafsi yake? Ni kuinama kichwa kama unyasi, na...
  8. Loveleads

    Hivi Biblia kuna vitu imeficha au ni nini maana sielewi

    Biblia imempa mwanadamu kile tu ambacho kinaitajika kumuunganisha na Mwenyezi Mungu .Stori zingine imeziacha kwa sababu zitajaza kitabu tu na unaweza kutojua ni ujumbe upi unakuunganisha na Mwenyezi Mungu.
  9. Loveleads

    Why Muslims fear Islamic Sharia and run away from their own countries?

    Du,hii kali[emoji2][emoji2] Lakini si wote hawapendi Mataifa yao,kulikuwa na Muslims ambao hawajachakachuliwa na Mataifa yao yalikuwa yenye furaha na Yenye maendeleo.Mbona umeacha mengine yaliyotulia na watu wake wanafuraha kama Saudia.
  10. Loveleads

    TB Joshua kuzikwa Julai 11

    Kifo ni kuzaliwa katika Ulimwengu Mwingine ambao unaitwa Ulimwengu wa Roho.Kama ilivyo kuishi katika tumbo la Mama tukiwa watoto wachanga kisha tukazaliwa katika Ulimwengu wa Dunia ndivyo siri tuliyoumbiwa ya kuishi katika nafsi tofauti na ulimwengu tofauti. Mtoto akiwa katika Tumbo la Mama...
  11. Loveleads

    Wanyama ambao sio binadamu, waliingiaje katika adhabu ya kifo baada ya Eva/Hawa na Adam kutenda kosa la kula tunda?

    Naomba tuelewe kitu kimoja kuhusu Biblia takatifu. Mosi,Maandiko ya kwenye Kitabu kitakatifu ni Roho,na anayetaka kuyatafakari lazima ayatafakari akiongozwa na Roho Mtakatifu na Si kutanguliza uelewa wa kisayansi unaojikita kwenye Mwili zaidi.Na hata tunafundishwa kuwa MUNGU ni Roho na anaetaka...
  12. Loveleads

    Aliyetufikisha Uchumi wa Kati ni Kikwete na siyo Magufuli, acheni kudanganya!

    Mzimu wa JPM unasumbua baadhi ya watu sana nashauri kwenye mahoteli muwe mnachukua vyumba vya floor za chini vinginevyo mtajikuta mnakimbia kupitia madirishana kama Mwanamziki fulani wa Uganda. Mtu kafanya mambo makubwa kwa muda mfupi na kayaacha yanaonekana,we unapambana tuyafute,huu si ni...
  13. Loveleads

    Kwanini mambo ya kiibilisi hufanikiwa fasta kuliko ya Mungu?

    [emoji2][emoji2] Mimi ni mtoto mdogo sana kwa yule Mtumishi wa Mungu Sistahili hata kulinganishwa na watumishi wake.Hekima yake na ufahamu wake kwa maswala ya kiroho ni wa juu sana kwa mtu aliekuwa anamfuatilia atajua nilisemalo.
  14. Loveleads

    Kwanini mambo ya kiibilisi hufanikiwa fasta kuliko ya Mungu?

    Ndugu yangu iko hivi, Mtumishi wa Mungu ni kama mtu tu anayewasha Swichi ya Umeme ukutani. Umeme ukishapata action ya muwashaji upita kwenye nyaya na kwenda kwenye balbu na kuifanya Balbu kuwaka.Kama Nyaya zina shida hutaona Balbu ikitoa mwanga hata ukiwasha mara elfu. Vivyo hivyo,Mtumishi wa...
  15. Loveleads

    Kwanini mambo ya kiibilisi hufanikiwa fasta kuliko ya Mungu?

    Kama Mwanga ufifiavyo katika tochi yenye betri afifu,ndivyo na Nguvu ya Mungu ififiavyo kizazi hata kizazi kutokana kufifia kwa imani ya wanadamu kwa Mungu wao alie hai na kupenda giza kuliko Mwanga. Kwakuwa Mwanadamu amepewa zawadi kuu ya uhuru wa kuchagua jema au baya na kwakuwa Shetani anao...
Back
Top Bottom