Recent content by Loveeness78

  1. Loveeness78

    Nahitaji mkopo wa dharura

    Bado ndugu yangu
  2. Loveeness78

    Nahitaji mkopo wa dharura

    Salaam kwenu wana JF, hususani jukwaa la biashara, chumi na ujasiriamali. Mwenzenu nimetingwa na nimekwama kidogo kwenye biashara yangu. Naombeni kujua ni sehemu gani nawezakupata mkopo wa dharura (ndani ya masaa 24 au 48) kwa riba nafuu. Mkopo ninaohitaji ni laki7 na nitarejesha ndani ya...
  3. Loveeness78

    Natafuta Bucha ya kukodi

    Ndio, wewe niwezeshe bucha uone madei yangu. Ha ha haaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Loveeness78

    Natafuta Bucha ya kukodi

    Habari za kazi wakuu, Natafuta Butcher ya kukodi jijini Dar es Saalam, kwa yeyote anaeweza kunisaidia kwa namna moja au nyingine namkaribisha tafadhari. Butcha inaweza kuwa mtaa wowote, naona itanifaa tu. Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Loveeness78

    Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Mi natibu chunus sugu mkuu, kwa tsh laki moja ndani ya wiki mbili tu, na hazirudi kamwe. Natumia dawa asili. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Loveeness78

    My wife is sleeping

    Nimeolewa. Wanafalsafa wa ndoa ni waliokosea kuoa/kuolewa[emoji12] [emoji12] [emoji12] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Loveeness78

    My wife is sleeping

    Du! Sijaelewa chochote hapo. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Loveeness78

    Najizuia sana kuwadharau watu waliosoma masomo ya Art

    Utakuwa mgonjwa wa akili Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Loveeness78

    Bucha ya kukodi inahitajika

    Heshima kwenu wakuu. Nahitaji butcha ya kukodi jijini Dar es saalam. Kwaajili ya kuuza nyama ya ng'ombe, kama ikiwa navifaa baadhi itakuwa vizuri zaidi. Ila hata kama haina vile vifaa basic za kuuzia ila iwe butcha nitashukuru pia. Mi nipo maeneo ya Bunju, kama ikipatikana mitaa ya karibu na...
  10. Loveeness78

    Nahitaji Bucha la kukodi

    Mi niko Bunju mkuu, kama ikipatika karibu karibu na maeneo haya nitashukuru. Ikiwa mbali pia nitaangalia kama naweza kwenda. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Loveeness78

    Babe, I am afraid this was never meant to be...

    Ndio, Mama yangu aliniambia mwanamke anajifunza kupenda. Hivyo nichague mwanaume mwingine kwa kutumia akili( yani awe na vigezo vyangu vingi ninavyo vipenda). Baada ya kuchagua niolewe. Nikafanya hivyo. Nikaolewa wakati moyoni yupo mwanaume mwingine, harafu nikajifunza kumpenda mme wangu. Mme...
  12. Loveeness78

    Nahitaji Bucha la kukodi

    Heshima kwenu wakuu. Nahitaji bucha ya kukodi jijini Dar es Saalam kwa ajili ya kuuza nyama ya ng'ombe, kama likiwa na vifaa baadhi itakuwa vizuri zaidi. Ila hata kama halina vile vifaa basic za kuuzia ila liwe butcha nitashukuru pia. Mwenye kujua au kuwa nalo ataniambia hapa public au hata PM...
  13. Loveeness78

    Unmarried and over 30 looking for "mr right"

    Nimemuelewa sana mtoa post. Kitu cha muhimu kwenye ndoa ni mtu kuchukuana na mtu wanao fanana tabia na focus za maisha, na sio kuwahi kuolewa. Mungu kaumba diverses, kama mwanaume mwingine anataka mwanamke mdogo sana, kuna mwingine anataka mwanamke mkubwa. Waacheni wanawake waolewe pale...
  14. Loveeness78

    Unmarried and over 30 looking for "mr right"

    Umeumia sana! Maneno mengi hayavunji mfupa. Wewe ndio unaejijua vyema. Utatamba kuuzidi hata ukoo wangu wote pesa, ila haisaidii. Kama una pesa kweli hungekuwa na maumivu kuja kujimwaga hapa kwa JF kuyatuliza walau kidogo baada ya kuachwa[emoji12]. Ni vyema ukatafuta pesa mkuu, hautaambiwa tena...
Back
Top Bottom