Sijaona sababu y kumtoa Edward Hosea maana yupo pale lkn hana makali kisheria ata akiwa n ushindi 100% bado akipeleka fail kwa DPP bac kila kitu mwisho pale
Serikali iliyokuwepo haikuwa na meno sasa now n serikali mpya kila aliyetenda kosa atawajibika. Ikombolewe tuu sio eneo la majengo ni sehemu ya wazi tena linapita Bomba la Mafuta
Hii bora tunasubir afute ziara za mwenge nao unatumia ela yetu nying wakati cha maana hakuna. Hii n nzuri mapumziko yapo lkn Co kwenda uwanjani n kusafisha mazingira nayo n uhuru tosha. Fisiemu. Mtaisoma no.
Kulinda kura zetu n muhimu sana mwaka uhuu maana Bila kufanya hivyo CCM wataiba kura zetu kwa kuingiza mabox yenye kura feki. Ulizia ilikuwaje 2010 jimbo la LINDI MJINI Bila wananchi kukesha na kulinda kula pale almashauri palikuwa hapatoshi
Hao ndo Kundi kubwa la wa Tanzania maskini na wenyekuona maisha Magumu yaan Jua letu, mvua yetu, baridi yetu, joto kali vumbi kufanya kazi za kutafuta riziki ya kila cku maana hucpofanya kazi cku moja n wew hupati riziki. Sasa tumeamua kutafuta unafuhu wa maisha kupitia vyama vingine like UKAWA...
Ali mbaya sana Dodoma akatwe au hasikatwe Chama kinameguka. Majina tiar yapo lakin jinsi ya kuyatangaza ndo shidah iliyobaki ndo maana wanachelewa na kuongeza mda
Miwatamu hii ikipita inakula kwa wa Tanzania maana ata ikija serikali makini itakuwa na wakati mgumu wa kuvunja mikataba. Inabid ujue hii ikipita watu wanasaini mikataba bihashara imekwisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.