Recent content by LOuYA

  1. L

    Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

    Dini ya uislam ni ya Mwenyezi Mungu, na wao ni binaadam..
  2. L

    Watu Weusi: Viongozi wa "unnecessary spending"

    Hata kama una avatar ya mzungu na nickname ya mzungu haikuondoi ktk uafrika Bara la watu wa low IQ
  3. L

    DPP awafutia mashtaka Waislamu 36 waliokuwa wanakabiliwa na makosa ya Ugaidi

    Ndugu, lini ushawahi kuvurugiwa amani na muislam? Na ilikua wapi? Ilikuaje mpaka ukavurugiwa amani Yako?
  4. L

    Tuacheni Kujipa Moyo, Ndoa kwa Kizazi cha Sasa ni Gereza la Mateso

    Umeandika vizuri kama kawaida Yako except ulipokuja ktk point ya dini, haswa upande wa uislamu..Sasa, ulichokiandika hapa kwa % kubwa kinashabihiana na mfumo wa ndoa na malezi uliopo ktk uislamu. Jaribu kupitia au kuuliza kwa wasomi wa kiislam kuhusu mada hii na utaona ukweli wa hili...
  5. L

    Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?

    Sasa unauliza Mungu alikua na maana Gani badala ya kuuliza wanasayansi walikua na maana Gani kutofautiana na Mungu? Yaani tayari swali lako lishamuwekea shaka Mungu na kumuamini mwanasayansi..Ajabu ya Mwanadamu!
  6. L

    Kisheria hakuna ndoa kwa kuishi na mwanamke/ mwanaume kwa miezi 6

    Tatizo ni Kila mtu (+mgeni wa Jiji kujiona ni mwanasheria)...Ona sasa kituko kilichoandikwa humu.
  7. L

    Peniela (Story ya kijasusi)

    Dope! Ila mwisho sijaenjoy Peniela kuwa na Mathew, that's all...
  8. L

    Dereva na 'Anko' wabaka mtoto wa miaka 6 Dar

    Watoto mlionao majumbani pamoja na kuwawekea ratiba ngumu za masomo ya kidunia muwape muda pia wa kumjua Mola wao..Ajabu unakomenti apa kwa uchungu kumbe nawe ktk nyumba Yako unatengeneza “Ma Anko" wa baadae.
  9. L

    Binadamu anapokufa roho yake humrudia Mungu au huenda mbinguni au jehanamu?

    Mbona unaharaka! Subiri zamu Yako ifike utajua tu
  10. L

    Panya Road wavamia nyumba za wakazi Kibaha, wapora na kujeruhi wananchi kadhaa

    Samahani jamani Mimi naomba niulize, hivi kazi ya Polisi, wanajeshi na wanaopigana ngumi ulingoni bila ugomvi si ndo hii..tuache mambo ya sijui wanajeshi ni watu wa kulinda nchi sijui nini..kimsingi waungane wamwagwe mtaani wakawasake Hawa watu..sasa Kuna haja Gani ya wao kulipwa fedha za Kodi...
Back
Top Bottom