Watu Weusi: Viongozi wa "unnecessary spending"

Watu Weusi: Viongozi wa "unnecessary spending"

Its simple ndugu zangu, hebu tumuangalie mtu mweusi anapopata pesa jinsi anavyovaa na vitu anavyomiliki. Utakuta amenunua vitu vingi hata asivyohitaji, na mara nyingi tu ili kuimpress watu ambao hawajui na wala hata hawana time na yeye.

Mtu mweusi ni mlalamikaji namba moja ila akipata ndio mtumiaji namba moja. Sisemi kwamba hakuna watu weupe wasio spend pakubwa ila wengi wao wako simple sana especially matajiri wao sio watu wa kushow off.

Mtu mweusi mid income tu huyo tayari ameshaanza kupangishia mchepuko, Mtu mweusi ni bingwa wa style za uvaaaji, cheni za kung'aa, kuandika majina kwenye plate number.

Mtu mweusi anajenga nyumba anarefusha paa linaenda juu zaidi ili hawaoneshe watu angali bora hata angeongeza hata chumba kimoja kama study room kutengenezea watoto norm ya kujisomea.

Mtu mweusi anatumia zaidi ya 50,000 kwa mwezi kwa ajili ya kurekebisha nywele zake alafu anakimbizana na landlord kwenye kulipa kodi, Mtu mweusi ndio bingwa wa kuzungusha round baani kuliko kubadirisha milo mezani kwake.

Mtu Mweusi ndio bingwa wa kutumia pesa nyingi katika kupamba duka kwa gharama kubwa alafu mzigo alionao ndani ya dukani ni trash.
Unalalama tu hapa... hao whites unajua jinsi wanavyo spend pesa zao lakini?
 
Mtu mweusi atakutesa sana kiakili usipokuwa makini[emoji3]
Yani extro, mtu mweusi ni waajabu sana, chukulia mfano hapa bongo watu waliowahi kupata pesa kama vijana mambo waliyoyafanya na waliiishia wapi,

Ferouz
Mr nice
Mwisho wa big brother
Nature

Angalia wakina konde na mondi mambo wanayoyafanya yakijinga kweli wakiwa wa vipesa alafu angalia kundi kubwa la vijana wanavyowashabikia na kushobokea.

Wengine hapa wanasema eti maisha ya mtu ayanihusu...aah wapi ni foolishness kwa maana tumeona hizi spending decisions zilivypharibu maisha ya watu.
 
Hakuna mtu alielalamika, na nimesema hata whites kuna wanaspend ila sio kwa asilimia kubwa kama ilivyo kwa mwafrika.
Unajua historia ya namna Blac were impoverished and killed for hundreds of years kabla hujaendelea kuaminishwa na liberals hicho unachoamini sasa.
Completely made poor by design.. wewe unaleta mchezo
 
Sorry nakupinga , hawa watu ni very economy hatari ukiona ana travel alishatenga fungu mda kwa ufupi wanafanya kile kilichopo kwenye schedule wachache wao ndo wanakurupuka
Sasa kama ndo hvyo basi ulaya kusingekua na omba omba,na serikal zao zsongekua znatoa misada kila mwsho wa mwezi kwa raia wake..
 
Tafuta pesa ndugu acha kulaumy watu wanaotumia pesa zao!!!
 
Back
Top Bottom