Recent content by Lotisya

  1. L

    Tubadili Katiba iwe ya kifalme. Nchi iwe ya chama kimoja, CCM

    Ni aibu kubwa rais wa nchi kutoa matamko ya kipuuzi kama hizo.
  2. L

    Tubadili Katiba iwe ya kifalme. Nchi iwe ya chama kimoja, CCM

    Hivi hili kina nitafika rushwa zaidi. Hivi kama MTU mpuuzi kama Sizonje ambaye taarifa ameshachanganyikiwa hadi anasema mbele ya watu kuwa kua rais ni mateso sasa si aachie tu. Atoke bana ameshindwa nchi.
  3. L

    CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    Kweli cdm walimuita Lowassa fisadi lkn imekuwa wa kwanza kuwahakikishia kuwa yeye sio fisadi. Na kila Mara anawaambia kuwa yeye sio fisadi na kama kuna mwenye ushaidi akastaki. Lkn pia hebu tuambieni kweli Lowasa ana ufisadi gani ambayo hamwezi kusema. Mbona majibu ya watu wenye ufisadi...
  4. L

    Nauliza: Mbwembwe za Makinikia zimeishia wapi?

    Mmmpiraaa umekwishaaaaaaaaa!
  5. L

    Maasai nation

    Achana na maisha ya wamasai, hujui maana yake.
  6. L

    Lowassa azingirwa na polisi nyumbani kwake Monduli ashindwa kwenda kumnadi mgombea

    Aisee hapo sasa wanazuia mafuriko ka tambara LA nguo.
  7. L

    Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

    Hata kiswahili chenyewe kinakupiga chini. Pilitoni maana yake nini? Acha na Ar-town jiji LA mageuzi.
  8. L

    Kinachoendelea Zimbabwe: Nchi yawekwa chini ya Jeshi, Mugabe kung'olewa?!

    Aisee Watz bana. Wanatoa taarifa utafikiri ndiyo mko huko.
  9. L

    Lazaro Nyalandu: Baada ya kutenda mema wakasema asulubiwe

    Kazi itakutangaza. Nakumbuka kwa kipindi huyu mheshimiwa akiwa waziri utalii ulikuwa unaoongoza kwa kuleta fedha za kigeni. Lei na majungu ya Kitwangala inakuwaje.
  10. L

    TAKUKURU kutoa Milioni 10 kwa atakayefanikisha kukamatwa kwa aliyekuwa mhasibu wao, Godfrey Gugai

    Kwani wewe ni Bashite? Au mbwa akipigwa punda ana- nani hii...
  11. L

    TAKUKURU, Bila Kuchunguza hii Rushwa ya Bunge, bora ivunjwe

    Tunatunza Amani yetu. Tusiseme chochote hata siasa tusifanye kwenye kampeni. Tukifika Tumsifu mfalme basi.
Back
Top Bottom