Jf usiku wa manane ni muda mtulivu kuperuzi majukwaani, hapa bongo kuna jamaa aliondoka na mabilioni ya benki fulani jijini dar. Jamaa aliitwa justine kasusura. Siku hizi benki haziibiwi kindezi
Hata hapa bongo kina memba waliteka ndege wakaenda zao jedda kisha london. Kuna wale wapelistina wa black september waliiteka ndege ya abiria ya ufaransa wakaja kutua entebbe kwa iddi amin
Wahuni walivamia mpaka benki, mara usikie benki fulani wameingia na kutoka na maburungutu ya noti. Mabasi nayo yalitekwa sana huko maporini abiria kusachiwa mifukoni
huu ukeketaji uko wa aina kadhaa, kuna wa kuondoa kisimi chote, kuna wa kubakisha kidoga na kuna wa kucharanga kisimi, kila kabila lina mtindo wake wa kukeketa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.