Recent content by Lotajr

  1. Lotajr

    Hizi ishu za Mungu/Dini ni very complicated

    Hayo Maswali Unajiuliza Kwasababu Unaiwaza Sana Dunia Jambo Ambalo Haliwezi Kukupa Majibu Ya Hayo Maswali Kwamwee Kwanza Unapaswa Kujua MWENYEZI MUNGU Hakumuumba Mwanaadamu Kwasababu Ya Maisha Ya Dunia Bali Dunia Ni Njia Tu Ya Kufika Huko Penye Uzima Wa Milele Ndio Maana Unaona Mapungufu Mengi...
  2. Lotajr

    DP World imebuma, EU kujenga Transafrika Corridor kuunganisha Kongo na Zambia with Lobito Angola Harbor!

    Unaongelea Ishu Kubwa Sana Kuliko Uwezo Wako Wa Akili, Kwanza Jifunze Kuandika
  3. Lotajr

    Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

    Uislam Unatufundisha Hivi.[emoji116][emoji116] Qur'an 49:13 ALLAH (s.w.) anatufahamisha: "Enyi watu! Kwa hakika tumekuumbeni (nyote) kwa (yule) mwanaume (mmoja, Adamu) na yule mwanamke (mmoja Hawaa). Na tumekufanyeni mataifa na makabila (mbalimbali) ili mjuane (tu basi, siyo mkejeliane)...
  4. Lotajr

    Najipanga kwenda Canada kutafuta maisha

    Ni mshahara wa mwezi mkuu but huwa Wanagharamia mahitaji yote Mfano malazi chakula na Nauli Nk pia hawakati Kodi unapokea pesa yako yote.
  5. Lotajr

    Najipanga kwenda Canada kutafuta maisha

    Mkuu Hizi nchi za Wazungu Mara nyingi sio Nzuri Kwenda bila kuwa na mwenyeji (kujaribu maisha) Hata Ukiwa na mwenyeji kwa Mara ya kwanza Unaweza kubahatisha ukaenda lakini Mara nyingi lazima upitie Tabu kidogo Wengi wamekuwa wakienda kwa kuungaunga mfano mtu anaenda Germany Basi Ataenda...
  6. Lotajr

    Wajinga wameibuka na hoja kwamba waliochomwa jana sio chanjo ni maji!

    Mkuu Hawa Viumbe wa hii Nchi huwezi wafahamisha kitu wakakuelewa kwasababu tayari Wana mihuri ya ujinga katika vichwa vyao waliyopigwa na wanasiasa wao ili wafanikishe malengo yao. nikupe mfano Mimi nakaumbuka Kati ya mwaka 2009/10 Wakati Marekani wanagawa neti za bure kila mtaa kwaajili ya...
Back
Top Bottom