Vijana wa tanzania kwa miaka ya hivi karibuni wanaonesha muamko mkubwa katika kuumiza vichwa na kuja na innovations ambazo zinaweza kutafuta changamoto za Moja kwa Moja kwa jamii ya watanzania na pili kuleta fursa za kipato lakini swali linabaki Kuna majukwaa sahihi ya kufukisha bunifu zao na je...
Hili ni bara la Giza akipewa nafasi mtu instead ya kufanya maisha yawe marahisi basi Ugumu ndo unazidi maradufu viongozi wetu hawapo kurahisisha mambo kabisa Hadi vyuoni instead mwalimu akusaidie anakuzingua ili umuone mwamba muheshimiane
Mabaraza yetu yanachojua ni kukusanya michango kutafuta fursa haiwahusu luck enough wanalipwa mishahara mizuri nahisi mentality ya phd au masters alone bila ya ubunifu katika kutatua changamoto hasa za ajira na maswala kama haya ni ujinga mtupu viongozi wa mabaraza wanapaswa kuwaza nje ya box...

Hapa ndo changamoto inaponzia kwenye eneo ambalo mifumo haisomani TCU Ina vigezo vyake mabaraza Yana vigezo vyao CO kasoma pharmacy degree mabaraza hayataki kumkubali chengine mabaraza yapo kwajili ya kukusanya ada za uanachama hayana mchango wowote kwa wanachama wao huko kitaa watu wanadhuliwa...
Kwa hii point kidogo nakupinga kweli Kuna kundi la wasomi wa vyuo vya nje hawapo competent but hili ni swala la kozi zote hata zilizopo ndani ni kwa mara ngapi tunasikia wasomi hawawez kujenga hoja hawawez kubadili walichosoma kua pesa au waajiri maofisini wanasema wanafunzi wakija field wapo...
Unajua iyo ndo changamoto ya nchi zetu kwasabb unakuta CO haruhusiwi kusoma degree ya nursing au pharmacy kwa nchi yetu vigezo havitaki so nahisi mfano mtu akienda kusoma ughaibuni akirudi atasajiliwa
Kuna hoja nyingine naiona unakuta huku Tanzania amepata division 3 labda ya pcb kaend china kasoma medicine hii ipoje au Tanzania unakuta hawaruhusu CO asomee pharmacy lakini Kuna baadhi ya vyuo nje udahili wanakubalo
Kwa nyakati tofauti nimeona watanzania wakilalamika kukosa usajili wa mabaraza ya kitaaluma hasa manesi na wafamasia pale wanapohutimu masomo yao ughaibuni na kurudi nchini kwajili ya kufanya kazi je ? Changamoto ni nini?
Kwa kupitia nikabaini changamoto chache kwanza kutokua na uelewa wa...
Hilo lipo wazi lakini kwa nchi yetu bado Kuna Ile muhas syndrome kilamtu anataka asome pale ila km izo fursa tofaut na vyuo vingine unakuta mtu akiwa serious anatoboa hasa kwenye maisha nje ya medicine
Nahisi walimu wazamani kwa Yale mazingira waliosomea wanataka dunia ionekane ivoivo Hadi Sasa kwasabb wao walisoma kwa shida with alot of energy basi iwe sawa Kwa nyakati hizi
Ch
Changamoto hapa ni nini? Ni kwamba elimu yetu uko very complicated au elimu ni nyepesi ila wanaotufundisha wanataka tuone ni ngumu? Kwasabb chuo hupimwa kwa tafiti mafanikio innovation contributions kwenye mabadiliko Chanya so kama hakuna inawezekana Kuna changamoto mahali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.