Hivi,,, mapenzi kati ya mwanaume na mwanamke ambao sio mume na mke, ni biasharaaaa,,, au mahusiano. Zamani wahenga walikuwa wakipendana kwa sababu mbalimbali,,,kama ujasiri,, ushujaa,, uhodari wa jambo,,, n.k. suala la pesa,,, sio kigezo,,, maana hakiuzwi. Mhenga anampa mwanamke zawadi kama...