Recent content by Losemo

  1. L

    JamiiForums Tanzania Zitto aishutukia EWURA juu ya kutoshuka kwa bei ya mafuta

    Inasikitisha sana. Tatizo tunawachagua watu wasiotujali hata kidogo. Najiuliza wako wapi viongozi wetu tunaowapamba kila siku majukwaani kuwaita waheshimiwa, Wapendwa. Tunawapa shahada za udaktari na uprofesa wasiousomea ili watuhudumie kwa upendo. Tunawapa ulinzi na kuwapisha barabarani wawahi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania KKKT: kufungisha ndoa mnatoza 100,000/=!

    Acha umbeya. Mzee wa usharika unashindwa kumuuliza mchungaji wako. Haya majungu tu
  3. L

    JamiiForums Tanzania Pandu Ameir Kificho: Baraza la wawakilishi Zanzibar msimamo wake ni serikali 2

    Aisee hawa ni viongozi wa ajabu sana. Watanzania wooooote wanajua msimamo wa wazanzibari kuhusu muungano hata mtoto wa darasa la kwanza. Huu ukigeugeu artificial utawafanya wageuke mawe
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mtikila: Nitajiuzulu Bunge la Katiba na kufungua kesi Mahakama Kuu

    Napata tabu sana kwa sababu inaonekana mjadala mkubwa umewekwa kwenye suala la muungano na serekali 3. Hata wasomi wamezama katika jadala huu wakati ambapo katiba ni ki2 kikubwa zaidi ya muungano. Mijadala mingine yenye faida kwa nchi imewekwa pembeni kabisa. Inaelekea wajanja wamefanya hivyo...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Dunia imefikia hapa

    Imeandikwa OLE WAO WAFIRAJI. Wasamehe maana hawajui walitendalo
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kweli sikio la kufa, halisikii dawa...Kenya ishakua too much!

    Nilijua wakenya watapata tabu sana na hizi kesi. Nina hakika wangejua wasinjechagua hawa jamaa. Ikulu mahali patakatifu, haiitaji mtu anayeandamwa na kesi hata kama ni ya kuhisi tu. Ona sasa wanavyopata tabu
  7. L

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba amjibu Bulembo (CCM)

    Warioba yuko sahihi kabisa. Anachofanya warioba ni kutoa na kutetea maoni ya wananchi aliyoyakusanya. Serikali 3 hajasema warioba, Hayo ni maoni ya wananchi, Wanaotaka sereikali 3 waitetee kwa hoja sio kwa nguvu. Tatizo ni kwamba sasa hatuna viongozi wenye ushawishi wa kutetea hoja na ndio maana...
  8. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Dr. Ferdinand Masau wa Tanzania Heart Institue afariki dunia

    Ingawa sijawahi kupitia mikononi mwake kimatibabu lakini nilimuenzi sana na kusema kweli hizi ni habari za kusikitisha sana. Mungu amlaze pema paradiso
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hali ya Mtwara mchana huu

    Mkuu kuna vinyamuzi vya kutosha kule Mtwara?
  10. L

    JamiiForums Tanzania Sarakasi za Matokeo zaendelea!

    Hii ni dhambi mbaya sana. Iko siku Mungu atashusha hasira yake na hakuna kiongozi atakayebaki. Mimi nitadumu kwenye maombi. MUNGU IBARIKI TANZANIA
  11. L

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato IV: Utata mtupu!

    Hakuna wakati taifa letu limechanganyikiwa kama sasa. Fikiria walioidhinisha matokeo ndio wanaotengua wakingali madarakani. Ilikuwaje Lukuvi atoe tamko la wizara ya elimu wakati waziri husika na naibu wake wako. Mimi nilidhani walishajiuzulu. Mwenyekiti wa NECTA na Katibu mtendaji kama...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Maaskofu kwenye Kikao na Rais Jakaya Kikwete kilichofanyika Ikulu 23.04.2013

    Hakuna kitu kinaniudhi kama viongozi wetu wanaposema eti tuvumiliane. Huwa najiuliza, Tunavumiliana nini? Askofu akiingia kanisani akahubiri habari za Kristo kwa wakristo kuna tatizo? Kama hakuna.... kuna cha kuvumilia? Shekh akiingia msikitini kuhubiri mtume wake kwa waislamu wenzake kakosea...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ni aibu ujumbe unaongozwa na Rais Kikwete kupokewa na Waziri wa Mambo ya Nje Uholanzi

    Ukitaka kuheshimiwa ni lazima wewe ujiheshimu kwanza. Wazungu wana story zote kuhusu watawala wetu. Wanawajua walio Sirius na wanaopita njia tu
  14. L

    JamiiForums Tanzania Bungeni tumepeleka vichaa, wendawazimu au mateja?

    Ninachoona kuna makosa pande zote ila ikitoka adhabu inaenda upande mmoja. Hii imekaaje
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya Mch. Antony Lusekelo (Mzee wa Upako) sio ishara ya kujisahau?

    Tafuteni kwanza ufalme wa mbunguni na mengine yooote mtazidishiwa. Nilidhaini hili analijua
Back
Top Bottom