Kwani hujui kwamba Mwigulu ndio amekuwa msemaji wa polisi mahojiano yote kati ya polisi na Lwakatare lazima yapitie kwake kwanza yeye pia ndio reception ya polisi ndio maana video feki badala ya kupelekwa polisi anapelekewa yeye kwanza
Mtaji wa Ccm ni watu masikini na ambao hawajaenda shule ndio maana wanafunzi wakifeli wanashangilia kwasababu mtaji wao unaongezeka Baba MwanaAsha jaribu kuongea na wasomi siku moja uone moto wake kama unachoma
Huyu mfalme wa Nyuki hana maana kabisa amezoea kusema uongo alafu akibanwa anajifanya kulia juzi ametudanganya kwamba amemaliza mgogoro wa Gesi kule Mtwara kumbe hakuna lolote ni uongo mtupu na ukijaribu kwenda tena Mtwara watakupokea kwa mishale wananchi wamechoka na uongo wako
Hii nimeipenda Ccm wanarusha mawe wakati wanajua wako kwenye nyumba ya vioo wanategemea nini? Matokeo yake wameiona Chezea Chadema wewe chama Makini, magamba mkilianzisha peoples power wanamalizia kabisa
Kigwangala sidhani kama kuna mgonjwa atakuja kwako umtibu au umpe ushauri kwasababu hauna akili wewe mwenyewe unatakiwa ukatibiwe akili nimefurahi sana kitu Zungu amekufanyia leo maana hukuwa na cha kuchangia zaidi ya kuongea pumba subiri wale ziro wenzako Ndugai Mimacho na bibi Kiroboto wawepo...
Kumbe ndio maana Tembo wetu wanakwisha maskini mtoto wangu ataona tembo kweli kwa uhongaji wa namna hii? juzi nilipita Serengeti nikawaona tembo wanaangusha miti yote ya kijani kwa hasira watakuwa wamejua adui yao ni hawa wanaovaa nguo za kijani wanafikiri miti ni kina Kinana a.k.a Dentisti na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.