Recent content by lornapm

  1. L

    Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    Nashukuru sana!
  2. L

    Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    U r very right kaka!nimekupata vzr hasa hapo kwenye ANGALIZO.
  3. L

    Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    namba 2 sio kweli soma maelezo yangu vzr.
  4. L

    Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    Nakubaliana nawe kabisaa ila mazoea mabaya ndo maana ilikua ngumu kucut off.La kumuona kila siku na kukaushiwa ndo haswaa penye mtihani maana kila nikiwaza hilo pozi linaisha.
  5. L

    Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    Ishu sio dudu km unavodhani,wala pesa ndo maana nikasema mapema nina uwezo msije mkadhani nimevutiwa na hela au natafuta hela.Tatizo nililogundua kwangu ni kukosekana emotional satisfaction kutoka kwa mume wangu km alivosema mchanguaji mmoja.Mume hajali mambo yangu kiivo.Hata usimsimulia stress...
  6. L

    Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    Asante kwa ushauri tena from a man's point of view.Nilishaamua kupotezea ila nikawa naumia mwenyewe but am now at ease,thanx sana.
  7. L

    Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    Thanx my sis.I hear you!Katika safari yangu ya ndoa nimejifunza mengi na nimefanya mengi kurescue situation hasa kwenye ishu za michepuko wa mume.Nimefanya hiki na kile ila mwisho naishia kusali tu maana kuna kipindi mtu unataka hata kufa kwa unayofind out.Mtu unajaribu hili na lile ukidhani...
  8. L

    Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    Asante sana kwa ushauri.Duh umenigusa sana!Najipa moyo this too shall pass.
  9. L

    Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    Asante sana kwa kunielewa.Its exactly what i needed.Mtu anishauri bila kunihukumu.Umenipa nguvu ya kukataa hii hali.
  10. L

    Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    Thanx kwa ushauri.
  11. L

    Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    Thank u so much.Haya maneno yamenipa nguvu Sijui nisemeje!Wengi wanakimbilia kunijudge hawajui ninayopitia kwenye ndoa.Sema tu whateva I have been going thru haijustify mm kucheat.I kno that for sure na ndo maana ninajitahidi kushinda huu mtihani.
  12. L

    Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    kuna watu mmekaa kuhukumu tu wenzenu.Nimeeleza navojisikia pengine mawazo yenu yatanipa nguvu ya kushinda hili.Najua its very wrong na namshukuru Mungu ameniepushia hadi leo hakuna anything physical btn us.Nimejitahidi kumu-avoid sana maana kuna kipindi tulikua kwenye mazingira flan very...
  13. L

    Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    Thanx i appreciate ur wisdom
Back
Top Bottom