Recent content by Lorenzo1

  1. Lorenzo1

    JamiiForums Tanzania Kwa Tukio lililomtokea Mama yangu 2009, Nimetokea kuuheshimu sana Ukristo na Wakristo wote

    Kwa ninavodhanii sikuiz watumish wapo wengii...wapo piaaa wanaotumika na nguvu za giza kwa kivuli cha dini (hii sijamshtumu mtu ila wapo wengi tu) lakini pia waliotumwa kufanya kazi ya Mungu kiukweli pia wapo...My take...tuheshimu dini za wenzetu ata kama hatuamini katika dini izo....Simama na...
  2. Lorenzo1

    JamiiForums Tanzania Kwa Tukio lililomtokea Mama yangu 2009, Nimetokea kuuheshimu sana Ukristo na Wakristo wote

    Point kubwa ya kuchukua ni kutodharau imani za watu...kaa kwny imani yako ila heshimu imani za watu
  3. Lorenzo1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiolewa usikubali kupewa masharti, kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl

    vp kuhusu majukumu ya kifedha!?
  4. Lorenzo1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiolewa usikubali kupewa masharti, kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl

    vp kuhusu majukumu ya kifedha!?
  5. Lorenzo1

    JamiiForums Tanzania Nimejifunza wazazi hawaachani

    Nafikir labda haujamuelewa ishu iko hv...yn inapotokea wakawa pamoja either kwa kutimiza majukumu ya mtto au kwa shughuli nyingne lazima watakumbusha enzi tu....
  6. Lorenzo1

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    jibu hojaa...hayo ya wajomba yameingiaje..
  7. Lorenzo1

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    okay...wanaolalamika wengi ni hawajui mfumo wa utoaji mizigo bandarini
  8. Lorenzo1

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    kabisa yn....Majaliwa kakataa kabisa hii ishu lkn hawamuelew
  9. Lorenzo1

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    watu wachache wanataka wapige pesa kupitia DP world....hao jamaa hawana shida...shida iko kwetu...kuna wadau wananufaikaaa na huo ubia
  10. Lorenzo1

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    Umewah ona nikilalamika? sikuzote mimi nasupport utendaj kaz wa bandar..kwa vifaaa ambayo wanatumia na kaz wanayoifanya wanajitahidi sanaaa...ucheleweshaj wa kontena bandarn uko upande wa TRA...husiongeee kitu kama huijui bandar
  11. Lorenzo1

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    Yaaanii me nashanga...wamegharamiikia kuongeza gati wamenunua na mshine za kisasa (ship to shore gantry crane) na hazijaanza ata kaziii ndo kwanzaaa zinamalizikia installation na wametumia gharama kubwa sana kununua izo mashine mpk walipeleka watu trainning ireland..leo wanabinafsisha kwelii?? dah
  12. Lorenzo1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unamkumbuka yule ex?

    hii comment yko et ndo naiona leo toka mwak juzi...Anyways tulioana mwaka jana mwez wa 6....Now tuna watoto wawili..huyu wa pili tumempata baada ya ndoaa..
  13. Lorenzo1

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Catridge Black noir CF226A for sale

    Kama picha inavoonesha hapo Catdrige OG kabisa za HP... ni compatible kwenye HP laserjet pro M402, MFP426 zipo mbili...zote nagawa kwa Laki moja tu....Ni mpya kabisa na Sealed
  14. Lorenzo1

    JamiiForums Tanzania Simba SC haifiki Robo Fainali na leo inafungwa goli 2

    mbwa wee
Back
Top Bottom