Unamkumbuka yule ex?

Unamkumbuka yule ex?

Kuna kipindi fulan ilikuwa nawakumbuka baadh ya Ma EX wangu, ila uyu Mwanamke nliempat saivi Aise...Amefanya niwafukie Ma Ex woteee, Kiukwelii Nampenda sana na Hilo halija ubishii...Ana nitreat kama Mume yaani, na kizuri zaidi Ni mtu wa dini... Ni pisi moja kali sana ambayo Tabia zake na ilivyo pisi ata mtu huez Amini...Amenibadilisha kwa kias kikubwa sana...Nadiliki kusema kuwa kama ikatokea tutaachana Sitakuja tena kupenda kama ninavompenda uyu dada....miez imepita nilimpeleka home yani mpaka wazee na mawifi wamempenda kwanzia tabia mpka umbo....wao wenyew wamekiri kuwa hii ni pisi kali, sasa hv tuko kwny mipango ya kuonaa....Mpaka dak hii na kila sifaa ya kuitwa Mke...Sijajua uko mbeleni Maana wanawake hubadilika...Ila kwa vyovyote vile me ndo nishampenda tenaa sanaaaa....Yaani saiv ata apite Mwanamke gani kwangu naona wakawaida sanaa...Sijui kanipa nn uyu mwanamke
Kama ni mchagga umeshatengenezwa mzee, its a matter of time kuona ukweli.
 
ah, mengi tunayapitia vijana, kuna kuachwa na kuacha vyote ni kutafuta sehemu sahihi, unaweza kupata au kukosea pia,, kikuwa mnavyoachana mwombee baraka unaemwacha, na wewe unaeachwa umia huku ukiomba heri katika safari zako!!
.
.
niliwahi kupendwa nilivyokuwa chuo, ah yule mdada alikua akinipenda sana,, ila kijana sikuwa tayari.. hua namwombea sana apate baraka na mume mwema!
Well said mkuu.
 
Kuna kipindi fulan ilikuwa nawakumbuka baadh ya Ma EX wangu, ila uyu Mwanamke nliempat saivi Aise...Amefanya niwafukie Ma Ex woteee, Kiukwelii Nampenda sana na Hilo halija ubishii...Ana nitreat kama Mume yaani, na kizuri zaidi Ni mtu wa dini... Ni pisi moja kali sana ambayo Tabia zake na ilivyo pisi ata mtu huez Amini...Amenibadilisha kwa kias kikubwa sana...Nadiliki kusema kuwa kama ikatokea tutaachana Sitakuja tena kupenda kama ninavompenda uyu dada....miez imepita nilimpeleka home yani mpaka wazee na mawifi wamempenda kwanzia tabia mpka umbo....wao wenyew wamekiri kuwa hii ni pisi kali, sasa hv tuko kwny mipango ya kuonaa....Mpaka dak hii na kila sifaa ya kuitwa Mke...Sijajua uko mbeleni Maana wanawake hubadilika...Ila kwa vyovyote vile me ndo nishampenda tenaa sanaaaa....Yaani saiv ata apite Mwanamke gani kwangu naona wakawaida sanaa...Sijui kanipa nn uyu mwanamke
Hakika mapenzi ni UPOFU.
 
Kama ni mchagga umeshatengenezwa mzee, its a matter of time kuona ukweli.

hii comment yko et ndo naiona leo toka mwak juzi...Anyways tulioana mwaka jana mwez wa 6....Now tuna watoto wawili..huyu wa pili tumempata baada ya ndoaa..
 
Back
Top Bottom