Recent content by LordMasele III

  1. LordMasele III

    JamiiForums Tanzania Bichwa Komwe, Black and Beautiful; The Epitome of Beauty

    Mkuu umecalculate na umri wake?😀😀
  2. LordMasele III

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Not that easy
  3. LordMasele III

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi tumeumizwa na single mothers, ndiomaana vita zao ni ngumu kuwatetea

    A man was born to start a family not to join a family. Naomba nisiulizwe aliyesema huu msemo.
  4. LordMasele III

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini Ili nisimpoteze

    Mdogo wangu mimi nakuunga mkono sana, sema wakuu wengine wanakunanga kweli kweli😀😀. Sema nini "At your highest moment, be careful because that is when devil come for you" Denzel washington.
  5. LordMasele III

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini Ili nisimpoteze

    Watakuja wapi? Kufanya nini?, mwacheni dogo ameshapata future wife.
  6. LordMasele III

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini Ili nisimpoteze

    Mpeni moyo kijana, ndo kwanza amebalehe mwaka juzi😆.
  7. LordMasele III

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini Ili nisimpoteze

    Mkuu mbona unazungumza kwa hisia sana??😀😀😀
  8. LordMasele III

    JamiiForums Tanzania Video: Netanyahu ahutubia viti vitupu wajumbe wengi wasusa kumsikiliza

    Mkuu niazime dictionary kwanza maana huu ung'eng'e naona vumbi tu.
  9. LordMasele III

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini Ili nisimpoteze

    Sure (kabisa). Me nakusapoti mdogo wangu, sema usiweke 100% kwamba utakuja kumuoa, at least weka asilimia 60, maana hawa viumbe hawatabiliki, unaweza shangaa anakutana na mwanaume mwingine huko mwenye maisha yake mazuri anaolewa. Kumbuka wanawake wana kitu kinaitwa biological clock maana kwamba...
  10. LordMasele III

    JamiiForums Tanzania Kipi kilikufanya uamini Mungu yupo au hayupo?

    Aisee nani kachukua dictionary Yangu?? Aaa kumbe umetafsiri mwishoni.
  11. LordMasele III

    JamiiForums Tanzania Unafikiri kwa nini CCM haina ushawishi kwa members wengi humu JF?

    Nipo zangu barararani muda huu lakini kuna mtu amepita anaendesha baiskeli imeandikwa samia suluhu hassan na rangi ya ccm, nawaulizeni nyie wakuu nimfanyeje mtu huyu?.
  12. LordMasele III

    JamiiForums Tanzania Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

    RUdi ex wangu tujenge maisha. Note: hata mimi ni msukuma lakini.
  13. LordMasele III

    JamiiForums Tanzania Site ya biashara Kahama

    Asante kwa ushauri mkuu
  14. LordMasele III

    JamiiForums Tanzania Site ya biashara Kahama

    Sawa mkuu nashukuru kwa ushauri
Back
Top Bottom