LordMasele III
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 296
- 261
- Thread starter
- #21
Shukrani sana mkuu.Muungula mkuu,utanishukru.pale Kati pamejaa sana competition kubwa ya wateja.
Shukrani sana mkuu.Muungula mkuu,utanishukru.pale Kati pamejaa sana competition kubwa ya wateja.
Sawa mkuu nashukuru kwa ushauriMkuu,badili biashara haraka sana, fanya biashara ya spare za pikipiki tena weka duka lako nyakato kibao cha sunset utanishukuru.
Kahama kuna Nyakato?Mkuu,badili biashara haraka sana, fanya biashara ya spare za pikipiki tena weka duka lako nyakato kibao cha sunset utanishukuru.
yesKahama kuna Nyakato?
Mmh mtaji wako???Viatu vya special.
Eneo liwe Kahama mjini.
Fremu isizidi laki moja kwa mwezi mkuu.
Kwan nini abadili kila mtu anafanya awezacho.Mkuu,badili biashara haraka sana, fanya biashara ya spare za pikipiki tena weka duka lako nyakato kibao cha sunset utanishukuru.
🤣🤣 umetisha sanaMkuu,badili biashara haraka sana, fanya biashara ya spare za pikipiki tena weka duka lako nyakato kibao cha sunset utanishukuru.
Mmh mtaji wako???
Una mpango wa kuuza jumla au reja reja au vyote kwa pamoja.
Viatu unauza jinsia moja au unachanganya.
Asante kwa ushauri mkuuMitaa ya CDT ndiko naona wafanyabiashara wengi wa viatu wapo japo unaweza kuwa mbunifu kutafuta eneo jingine lakini wateja wengi wanaenda mitaa hiyo
Mkuu asibadili mtaa maana mtaa huo ndio wenye wateja.Mitaa ya CDT ndiko naona wafanyabiashara wengi wa viatu wapo japo unaweza kuwa mbunifu kutafuta eneo jingine lakini wateja wengi wanaenda mitaa hiyo
Yeah CDT watu ni wengi mitaa hiyo plus kuna stendi ya magari kwa pilika ni nyingiMkuu asibadili mtaa maana mtaa huo ndio wenye wateja.