Recent content by lordchimkwese

  1. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Nataka nifike hii rekodi ume ni inspire.. Count down day 12...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Licha ya kupewa kashfa lakini bado vitu hivi ukianza kuvitumia ni ngumu kuacha!

    Sa kupata msichana wa kukupa mbunye mda wowote ndio ugumu wenyewe huo.. Mana inabd uwe unambato si chini ya siku 4 kwa wiki
  3. L

    JamiiForums Tanzania Burundi raha sana, Windhoek ni 1500 ya Kitanzania

    Weka picha au uzi ufutwe tumechoka chai zako
  4. L

    JamiiForums Tanzania Safari ya Bujumbura inaendelea tunazidi kupukuta upepo, tupo Kigoma

    Aweke picha hapa la sivyo uzi ufungwe
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume! Mwenzetu kashaangukiwa na kitu chenye ncha kali

    Unakubali vipi toto halifanani na wewe au ndugu yoyote.. Kwanza watu wazima waliokulea ukipeleka mtoto tu chap washausoma mchezo
  6. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya kesho nina safari ya kwenda Bujumbura ~Burundi, dua na maombi yenu nifike salama

    Usikimbie uzi huu tunanataka stori za huko ili na sie siku tukienda tusixubae zubae
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mtihani wa kukomoana tume ya utumishi wa ajira za Mahakama.

    Ningepata zero hapo... Kwa kweli wamewapatia ha ha ha ha vijana hatufatilii mambo tunapenda ngono na ku bet tuuu kutwa tupo kwny uzi wa Rikiboy...
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jana nimefanya risk ya kipuuzi sana

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. L

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wafundishwe maadili ya kazi

    Confidentiality
  10. L

    JamiiForums Tanzania Leo sijaenda kazini na sijatoa taarifa, nimechoka

    Laki 7.. Wengi wanalipwa chini ya laki 3
  11. L

    JamiiForums Tanzania TEMESA wakubaliana na Azam Marine kuvusha abiria Kigamboni (Ferry)

    Kinabeba watu wangapi hiko kiboti cha AZAM na zipo ngapi..?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Akamatwa kwa kufoji namba za gari (SU) na kusafirisha wahamiaji haramu

    Hapa ndipo alipofeli ukiacha kuchomeshwa na wenzie uchaguzi wa gari pia sio sahihi kwanza model hzo serikali ilishapiga bei karibu yote mengine yapo juu ya mawe na most of them zilikua rangi nyeupe
  13. L

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Akamatwa kwa kufoji namba za gari (SU) na kusafirisha wahamiaji haramu

    Noma sana inaezekana kuna kupishana maslahi wamechoma
  14. L

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Akamatwa kwa kufoji namba za gari (SU) na kusafirisha wahamiaji haramu

    Tatizo hyo cruiser model ya zamani ndio mana kaminywa
Back
Top Bottom