Advanced technology ni hatar zaidi ya kuish kawaida
When you reach a level ambayo mwanadamu anauwezo wa ku control death. Basi ni hatar. Maana ndio kitu pekee mwanadamu ana hofu nacho.
Naweza sema .. ulichoandika ni vice versa
Ni hiv dunia haitaruhusu hatua hyo kufikiwa kutokana na imani za kidini etc
Kitakachotokea ni kwamba dunia itaharibiwa makusudi na itaanza upya kabisa . Zama za mawe... Na hili si kwamba ni jipya. Ishatokea hivyo zaid ya mara 900k...
Unachokiona sasa...
Unahis hili taifa limefanya nn cha maana... Tulio ughaibuni had tunaona aibu kujitambulisha tunatoka nchi hzi za east africa... Mtu unaona bora utaje hata south africa.. ni aibu tupu.. ni vile wa Tz waamezoea umasikin.. ila unapokuja dunian huku ndio unaelewa kuwa watu wanaish kwenye ufukara wa...
Kaka.. kuna watu wanajua kutumia fursa. Akiiba . Mapesa anaenda tumia vzur... Asilimia 80 ya matajir wa bongo mitaji wamepatia kwenye hizo chain.. wenye mahotel.. wamiliki wa tv na redio station weng .. wamilik wa mabasi na malori.. na wanasiasa weng. Infwaact... Serikal za africa ni kichaka cha...
Unapokua unaish huku kwa wazungu.. halaf unaskia black person kashinda kitu flan against hao watu weupe.. daaah kuna feeling flan nzur sana unaifeel. Hata kama awe anatokea wap
Waafrica huku tunavyojifeel its like wote tunatoka nchi moja yan.. aisee...
Thumbs up kwa all black people...
Mbona kila kitu kiko waz kaka kila kitu kimeadikwa vzur kwenye vitab vyenye history ya kanisa.. hizi sikukuu zote za kikanisa ni kwel ziko tofaut na matukio ya tareh kamili sabab pia ni ngumu kitambua exactly datea za kilichotokea zaman.. kwahyo. Kanisa liliamua kutumia mantiki ya sikukuu na...
Ualimu na majeshi ni kada znazobeba walionusurika kufeli masomo.. sasa unategemea nn .. hawana self esteem..ni watu wasiojiamini maisha yao yote kutoka na kufeli huko. Ndio mana ni kada znazoonewa mno
Ukitaka uish vzur.. acha lawama.. kila mtu ana hak ya kupenda. Sasa umemtongoza hajakupenda kapenda mwingne.. inakua dhambi?.. ukiona karud kwako tena ujue unaenda tumika tu . Vijana someni alama za nyakat
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.