Recent content by Long'ututi

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mdada huyu ananisumbua

    Kajipange tena then uje kutuletea habari ya maana,..
  2. L

    JamiiForums Tanzania Shahada ya elimu kufanya Kazi benki

    Angalia maslahi ya sasa na baadaye...utulie kisha ufanye maamuzi sahihi..nakutakia kila heri.
  3. L

    JamiiForums Tanzania PAID INTERNSHIP OPPORTUNITY:WORLD VISION ( ARUSHA residents only):

    aisee hii lugha si mchezo
  4. L

    JamiiForums Tanzania nyumba inapangishwa

    ipo sanawari-arusha,ni nyumba ya kisasa kwa familia. kwa mawasiliano zaidi 0762879195 au 0789543339
  5. L

    JamiiForums Tanzania nyumba inapangishwa

    ipo sanawari-arusha ,ni nyumba ya kisasa kwa familia,bei ni maelewano. kwa mawasilino. 0762879195 au 0789543339
  6. L

    JamiiForums Tanzania naomba msaada ndugu zangu

    nina assignment muhimu nimegoogle na discussion bado hakijaeleweka swali ni hili discuss what appears to be central theme to all religions and how it contributes in the construction of a society
  7. L

    JamiiForums Tanzania Naumwa sana na uume

    Thanks ndugu zangu,kweli kurudi kwa dokta wa kwanza sikukumbuka. Nitarudi. Waliocomment niache ngono nadhani wanatania wakati nipo siriaz. Toka nioe sijawahi kuonja nje na kwa uhakika mimi na mke wangu hatuna ugonjwa wowote wa zinaa. Nashukuru wandugu kwa ushauri ulio bora,wanaocomment mambo ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Naumwa sana na uume

    Mimi ni mwanaume mwenye miaka 27,nimeoa na nina mtoto mmoja. Nimekuwa nikiumwa sana na uume iwapo sipo karibu na mke wangu,hasa ninaposafiri. Nilienda kupima kila kitu,magonjwa ya zinaa na hata Hiv sikupatwa na tatizo. Ila nikikaa wiki moja tu bila kukutana na wife maumivu yanaanza utadhani...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mtu mwenye master degreee......msaada plse!

    umemjibu kwa usahihi sana. Unaelewa vizuri haya mambo. Good.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yananiua

    Tupo pamoja ndugu zangu,mpaka sasa hakuna ninayeishi naye,kila mtu kwake,na wote wanataka ndoa na mimi niende kwao kujitambulisha rasmi. Kiukweli mawazo yananitesa mpaka naota ndoto mbaya,wazazi wangu hawanielewi kwasababu tangu mtoto nilikuwa mpole na mcha Mungu,wanajuta kwa mimi kusoma...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yananiua

    nimekuelewa ndugu yangu,mimi mwenyewe najuta ndio nikaona niombe ushauri kwenu ndugu zangu. Kuoa wote siwezi na kwa sasa nipo nao kwa kuwa sijapata suluhisho la kudumu,mawazo ya wadau nayoyapata nayachuja ili niyafanyie kazi.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yananiua

    duh,ni kweli nimefanya makosa,nashukuru kwa wazo pia ndugu yangu.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yananiua

    nifanyeje king'asti?
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yananiua

    nashukuru Shantel,sasa kwenye nguvu za jadi ndio sijui itakuwaaje. Mimi siamini mambo hayo ila wao wanaamini na wanataka wadhuriane wao kwa wao,nimejaribu kuwasihi wasifanye hivyo ila kila mmoja anaapa kumwendea mwenzie kwa waganga kama nikionesha upendeleo kwa yoyote. Kati yetu watatu kila mtu...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yananiua

    nashukuru sana ndugu yangu,matunzo mpaka sasa napeleka,ila kwa siri kwani kati yao hakuna aneyejua kipato changu halisi kwa mwezi,namudu gharama ila niliyemvisha pete yeye hataki nipeleke matumizi kwa mtoto ila in future yupo tayari kuishi na huyo mtoto bila kipingamizi chochote.
Back
Top Bottom